@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Unaambiwa hata siye tuliokwisha ingia Kortini tumeondolewa. Ishu ni simu. Tupokonywe simu. Hatujaafiki. Tunangoja kauli ya Msajili. Lakini haya mambo, kwa ujumla, ni ya hovyo sana. #MboweSioGaidi
42
203
1K

Replies

@advocate_silayo
Joseph Edward Silayo
3 years
@TitoMagoti Wanataka kukupokonya mpaka kale katekino ka tochi bhana πŸ˜‚πŸ˜‚
1
2
29
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@advocate_silayo FalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1
0
8
@AlphoncePastory
pastory alphonce
3 years
@TitoMagoti SerekaliπŸ’πŸ’πŸ˜
0
0
1
@SalvatoryEdwar1
sliver Eduardo
3 years
@TitoMagoti Zaidi ya honyo yaaan
0
0
0
@Eliamatonda
Em
3 years
@TitoMagoti Muda utaongea tu wasidhani maisha yanaisha leo
0
1
9
@FredyJuvenaly
The Guice
3 years
@TitoMagoti Wanaogopa wakati wenyewe ndio walisema Wana ushahidi wakumfunga Mwenyekiti wetu Mbowe.
0
0
2
@Shekaoneka_jp
Paul J.
3 years
@TitoMagoti Ni aibu kubwa sana
0
0
1
@Rapha_sylvester
Raphael Sylvester
3 years
@TitoMagoti Mbona hii nchi inataka kuelekea siko
0
0
1
@mike_siegfried1
Michael Hyatt Siegfried
3 years
@TitoMagoti Ningekua mm nawaachia techno nakuja kuwadai macho matatu mbona wataomba poo
0
0
1
@VidonyiHumphre1
Humphrey Vidonyi
3 years
@TitoMagoti Msimamo uwe huo huo no entrance with cm no case
0
0
3
@EmeldaM69952629
Emelda Martin
3 years
@TitoMagoti Mmmmh kazi ipo.
0
0
5
@IsmailY35594270
Ismail Yassin
3 years
@TitoMagoti @Kiganyi_ Sijui wanataka kutupeleka wapi maana hata RPC wao jana ameongea makande tu wakati anatoa ushahidi.mwisho tunauona mbona...... #mbowe sio gaidi#
0
0
0
@Magafu16
Magafu
3 years
@TitoMagoti Yego Masika! Nilijua Bunge la Nanhii ndo halitaki liwe LIVE kumbe hata huku LIVE ni shida. Ila ndege zikinunuliwa LIVE. Watu wa Maombi shikilieni hapo hapo karibu shetani ataabishwa na matendo yake.
0
0
0
@kasulukwetu
Kasulu
3 years
@TitoMagoti Mwisho watasema mkatwe vichwa ndipo muingie mahakaman, maana kichwa kinaweza kutunza kumbukumbu kama simu.
0
1
9
@kimacho2
kimi
3 years
@TitoMagoti @OleMtetezi Hapo kutokana na umuhimu wa hii kesi kulitakiwa kuwa na β€œlive tvs” siyo moja zaidi ya 5 , waandishi wa kutosha etc, eti sasa simu ni shida
0
0
0
@jmjombawao
Uncle
3 years
@TitoMagoti Wana Scanner kusearch watu?
0
0
1
@CherylEssays
ESSAY HELP, MATH ASSIGNMENT HELP, & HOMEWORK HELP
3 years
0
0
2
@WenseslausWen1
RIPDIEGOMARADONAJR
3 years
@TitoMagoti Ukweli umejukikana kwa hiYo wanataka kuuficha too late
0
0
1