@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Kinachoendelea Mwanza ni jitihada za kuturejesha tunakotamani kutoka. Ni mwanzo wa maisha mengine ya uhasama, uhusiano wa paka na panya. Sio sawa.
37
205
2K

Replies

@lie_fist
The Monk
3 years
@TitoMagoti We shall OVERCOME - MLK Jr.
Tweet media one
1
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
0
0
1
@shosekenyi
Shosekenyi
3 years
@TitoMagoti Moyo wangu umeumia sana.
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
0
0
2
@advocate_silayo
Joseph Edward Silayo
3 years
@TitoMagoti Tunaendelea pale pabaya tulipoishia
1
1
26
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@advocate_silayo ... immediate turn of events imenichefua sana homeboy.
1
2
22
@mbonimpayetz
Choba
3 years
@TitoMagoti Tulikuwa Half Time tu mkuu.
0
0
0
@Thebig_07
One Ghetto Child
3 years
@TitoMagoti Serikali hii hufikiri inafanya hivi ili kodhoofisha Chadema. Isijue madhara yake kwa taifa. Time will tell
0
0
1
@AlphoncePastory
pastory alphonce
3 years
Tweet media one
0
0
0
@PKindongo
爪ㄒ凵 丂卂几卂
3 years
@TitoMagoti Huyu Mama maskin namwonea huruma ,maana naye kama amechagua kuwa mtesi wa Upinzani ,hatachukua round naye tutamuaga soon! Kama mwendazake.
3
0
3
@DionizeN
KITUKUU
3 years
@TitoMagoti Chama changu huwa kinanisikitisha sana yaani, inakuwaje kinaogopa vitu vya kawaida kabisa? Na akinanisikitisha zaidi pale kinapotaka kufanya siasa peke yake tu. Tatizo nimekipenda mwenyewe ila si sawa kabisa. Chama changu kinawasomi wengi sana wa ngazi za juu lakini ndio wajinga.
0
0
4
@lugmeryz
Lug
3 years
@TitoMagoti Hichi kinyago alichojivisha Madam President hakimpendezi hata kidogo Watu wa hovyo wamemzunguka na wanamdanganya na kumwambia kinamfaa!!
0
0
2
@SindaSylvester
SylvesterSinda
3 years
@TitoMagoti @Greathinker12 Mama ssh kuwa makini na washauri wako: Kuna siku utajuta kama si Duniani basi itakuwa----—
0
0
0
@EdsonNjiwa
Itete Njiwa
3 years
@TitoMagoti @Greathinker12 Ni hatari brother,kauli yake na waandishi wa habari kuhusu mikutano ya hadhara ndio inazaa matunda.Alisema hataki chokochoko na haya ndio matokeo yake
0
0
0
@AgustiMassawe
YANT PRAJAO KHAO NIROTHE💒🏰❤✌
3 years
@TitoMagoti Ndo tulipo mpaka leo tunazidi kujengewa Chuki na watawala
0
0
0
@silvestersir
silvester
3 years
@TitoMagoti Inanikumbusha story ya PUNDA WA DOBI
0
0
0
@germaiko
Gervas Maiko Sulle
3 years
@TitoMagoti Pia ni mwanzo wa kuandika historia mpya Tanzania.
0
0
1
@Ginna1710
Ginna
3 years
@TitoMagoti Shame on them!
0
0
0
@SadikAdamSadik3
Attorney🇨🇦
3 years
0
0
0
@KibondeKibs
Stanslaus Kibonde
3 years
@TitoMagoti Kuna angle wanaitafuta tunawaambia tunaijua ni suala la muda tu
0
0
0