@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Katika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika. Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako. Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo chako – Ee Mungu tujaalie mwisho mzuri. Kwaheri Mhe. JPM.
58
174
2K

Replies

@Twaha_Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
3 years
@TitoMagoti Tumeteseka pamoja Gerezani, Leo hii tunashuhudia utukufu wa Mungu juu ya nchi yake hatuna la kusema Wala kunena bali tunanyanyua mikono kwa Muumba na kusema wewe ndie unae tujua utujaalie mwisho mwema.
2
1
110
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@Twaha_Mwaipaya Kamanda, neno letu ni Asante✊
1
0
59
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
3 years
@TitoMagoti Amen 🙏🏿
0
0
12
@Essay_Hacks
ESSAYS & ASSIGNMENT HELP IN ALL MAJORS
3 years
0
0
1
@MAZALERMY
MAZALERMY
3 years
0
0
2
@mitano_tena
Mr. Tyetyetye🇹🇿
3 years
@TitoMagoti Amen 🇹🇿
0
0
1
@DavidJoh27
Justice
3 years
0
0
1
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
@TitoMagoti @msigwa96 Nani alikuchomea utambi ukaenda Mahabusu?
0
0
4
@VeronicaEvord1
Vee Kimwanya
3 years
1
0
2
@MZEE_MARINGO
HAMISI_MARINGO
3 years
@TitoMagoti @babalao__ Hakika mwenye kumuombea kheri mwenzie alietangulia mbele za hakhi kesho atakuwa mgeni mzuri wa Allah SW🙏
0
1
15
@chiggella
MalongoleGuzi
3 years
@TitoMagoti Amen kaka. Barikiwa sana
0
0
1
@Rk21763100
Dr ORTHOPEDIC⛑️
3 years
0
0
1
@MosesMasanja5
Masanja M
3 years
@TitoMagoti Hakika,mwisho wake tumeuona. Asante Yehovah.
0
0
16
@Tumaini7
Tumaini
3 years
@TitoMagoti Amen 🙏
0
0
1
@mvimbamacho
Msasani.
3 years
0
0
1
@Audax_Jr
A.M
3 years
0
0
1
@Thebig_07
One Ghetto Child
3 years
@TitoMagoti Noted mjomba
0
0
1
@juma_mondo
Juma Mondo
3 years
@TitoMagoti Fact! Kila lenye mwanzo na mwisho pia upo.
0
0
3
@AnethSissya
Aneth
3 years
@TitoMagoti Kikubwa Mungu atusaidie tusiwe na kiburi cha uzima
0
0
3
@27Petermark
Petermark 27
3 years
@TitoMagoti Stay strong always we forgive but we don't forget into the chapter we move but we don't forget our lessons✊✊✊✊✊
0
0
3