ThomasJosephat3 Profile Banner
Thomas-Josephat Profile
Thomas-Josephat

@ThomasJosephat3

Followers
679
Following
1K
Media
398
Statuses
3K

Nothing last permanent Be humble!!. Kidogo chako ni bora zaid kuliko kikubwa cha matumaini. Kilimo na ufugaji ni mchongo wenye maslahi. Cogito ergo sum.

Mbeya, Tanzania
Joined September 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
10 months
Msiba wa Taifa lazima mwaka huu bendera ipepee nusu mringoti.
117
65
1K
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
1 hour
Gm Nyote njema uangaza asubuhi
0
0
1
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
14 hours
😆 😂
0
0
4
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
14 hours
Kongole wakulima
2
2
7
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
14 hours
Kilimo ninakijua zaidi ya ninavyoweza kupewa story na watu
3
2
21
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
15 hours
Ukitaka kunijua vizuri njoo shambani. Watu watakujua kupitia unachokifanya
1
9
17
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
16 hours
Kabisa mkuu
0
0
0
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
19 hours
Hii ndiyo kazi yangu wewe je?
2
3
14
@Mazikuagric
𝐌𝐚𝐳𝐢𝐤𝐮 𝐀𝐆𝐑𝐈𝐂 🇹🇿
23 hours
Shambani kwako mbolea unaweka mara ngapi?
2
5
12
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
1 day
Kabisa
0
0
1
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
2 days
Hakuna tunachojivunia zaidi ya ukulima wetu #SisiNiwakulima
5
12
51
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
2 days
Baada ya kutoa maelekezo kazi ikawa hivi
0
3
10
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
2 days
Uwekeji mbolea wa vijana Vijana wanahitaji usimamizi, na hapa nilikuwepo shambani! Je nisingekuwepo.
3
7
18
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
2 days
Unachoma mbolea mara ngapi?
0
5
12
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
3 days
Amina
0
0
0
@Mazikuagric
𝐌𝐚𝐳𝐢𝐤𝐮 𝐀𝐆𝐑𝐈𝐂 🇹🇿
3 days
Kazini Kwetu Boxing Day ni Mwendo wa Kubandua na Kusimika Mbegu.
3
4
12
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
3 days
Mzigo wa kutosha #KilimoNiBiasharaYakudumu
0
3
9
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
3 days
Ivory on Top of Mount Kilimanjaro. Kutoka shambani kwangu imekuwa ni ufunguo wa biashara ya mihogo (makopa) Note. Chochote unachoweza kukianzisha kizingatie sana kinaweza kuwa ni mlango wa vitu vingine vikubwa. #KilimoNiBiasharaYakudumu
1
4
13
@Mazikuagric
𝐌𝐚𝐳𝐢𝐤𝐮 𝐀𝐆𝐑𝐈𝐂 🇹🇿
3 days
Hakuna MKULIMA aliye mshindani wetu, kwa sababu wote tuna lengo moja KULISHA na KUJENGA TAIFA.
2
2
11
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
4 days
Staafu ukiwa bado mchanga, staafu ukiwa tajiri 👏💸" Heshima ni kuwaza nje ya box.
1
4
21
@ThomasJosephat3
Thomas-Josephat
4 days
Mioyo yetu imejaa furaha kutokana na mapambano yetu.
8
4
22