@ThepemlinKee
THE NAIROBIYAN™
3 months
As a sales person how can you convince someone to buy this car
Tweet media one
551
180
2K

Replies

@Gustavo__254
GUSTAVO
3 months
@ThepemlinKee Huskii hii unapark tu kando ya Petrol station na niivo
4
0
151
@latariico
Free Movies Delivery
3 months
@ThepemlinKee Unaeza lala nayo ndani isiibiwe
1
2
11
@darrenvickmell3
Vick Melly🇰🇪🇷🇺🇵🇸
3 months
@ThepemlinKee Hiyo ni tuktuk😂💔
0
0
2
@bozgabi
LANDLORD🇰🇪
3 months
@ThepemlinKee 🤣🤣😳😳
0
0
13
@The_God_Farther
Ladies’ Man
3 months
@ThepemlinKee Does it have 4 tires or its this new model tukutuku?😂
0
0
0
@Kungu254_
Kūng'u Njenga 🇰🇪
3 months
@ThepemlinKee Haka ata hakasumbuliwi na jam. Kako na nduthi mode ya kufanya upitie chochoro 😂😂😂
@Kungu254_
Kūng'u Njenga 🇰🇪
3 months
Being understanding is good but being disrespected is not. Being forgiving is good but being abused is not. You have to put a stop to giving too much because they will never be tired of taking from you. Don't let anyone make you believe that you deserve less. Respect yourself!…
2
2
3
0
0
7
@ACollebAn
Colleb An
3 months
@ThepemlinKee Simple, tell me your budget I’ll give you value for money
0
0
12
@marto254_
SUPER METRO 🇰🇪
3 months
0
0
1
@FredyOdashee
Fredy Odashee
3 months
@ThepemlinKee The same way she convinced him to date her😂😂
Tweet media one
2
0
17
@FredyOdashee
Fredy Odashee
3 months
1
0
2
@BruceMwarome
Mtana_003
3 months
@ThepemlinKee Hii adi unaeza ieaka kejani na ujipe shughuli 😀
0
0
3
@Mass_servant
Mass servant🇰🇪
3 months
@ThepemlinKee Hii gari haukunywi mafuta..inatembela kilometre 100 na litre moja.. Hii gari unaweza Park anywhere Hii gari hata ikichoka wewe mwenyewe unaweza ibeba....uko na ngapi?
0
1
3
@Muuo102
He_rBoyfriend🔻
3 months
@ThepemlinKee @RiggyOguda Me to the client , "This Kenyan Lamborghini only takes a little space of the road thus unable to collide with huge trucks"😂
3
7
56
@__BabaBoy08
̶N̶̶A̶̶M̶̶B̶̶A̶ ̶N̶̶A̶̶N̶̶E̶
3 months
@ThepemlinKee @manuukenya Unaweza nunuria mtoto wako hii achezee kam toy
Tweet media one
0
0
7
@_reposter_
RETWEETER🔃
3 months
@ThepemlinKee 🕴️🫱🏿"Boss, Gari ina efficiency tupu Hata inaweza oshwa kwa sink na ikaushwe pamoja na vyombo Hakuna haja carwash"
0
0
4
@MisTaH_Dan
MisTah🇰🇪
3 months
@ThepemlinKee wenye huzibai hawahitaji convincing...wanakujanga wakiuliza 'hapa naweza pata kagari ka one hundred thousand' na ndio kuavoid kuaibika utaskia wakisema 'sitaki kununua kakubwa na ni kakuenda kazini tu na hata sina familia'😂😂🖐️
0
1
32
@kwachiffu
Gwa giff 🇰🇪
3 months
@ThepemlinKee Boss haka venye kameundwa kananusa mafuta tu Kama umesonga.
Tweet media one
0
0
44
@itsjimke
JIMMY™
3 months
@ThepemlinKee Uskii haka kakipata scratch unakapaka kiwi 😂
0
0
4
@Lekie3722
Leon.Lekie
3 months
@ThepemlinKee Huskii ni low fuel consumption
0
0
3
@veteran_larry
VeteranLarry🇰🇪🖤
3 months
@ThepemlinKee Hii unaenda unatafuta kang'ethe huko kiambu unamwambia ni mzuri ya bibi kuenda nayo kanisa na chama uone kama hanunui.😂😂
0
1
15