KhalifKairo Profile Banner
khalif kairo Profile
khalif kairo

@KhalifKairo

Followers
325K
Following
12K
Media
8K
Statuses
29K

God’s project. Founder @jetmanglobal @kai_and_karo Enquiry [email protected]

Nairobi, Kenya
Joined December 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@KhalifKairo
khalif kairo
19 days
So embrace your pain, its okay to sleep hungry, its fine to feel unwanted and its okay to struggle. If you maintain positivity, maintain focus and keep praying. one day you look at this days with a very bright smile and thank God for the experience. Don’t succumb to depression.
42
160
1K
@KhalifKairo
khalif kairo
2 hours
Tweet media one
11
4
148
@KhalifKairo
khalif kairo
2 hours
Admin wa jaba akikupea hii RR Vogue 3.0 V6 Diesel on a Friday , ajaze mafuta full tank , akuekee Kes 200,000 kwa glove compartment na freedom to travel anywhere within Kenya. Monday tutakutoa wapi?.
Tweet media one
10
1
26
@KhalifKairo
khalif kairo
2 hours
RT @MCCCANM: This is *not* a recommended technique for airliners. It might look cool, but the wings are still producing lift, which takes….
0
41
0
@KhalifKairo
khalif kairo
2 hours
Mnaachana na dem mlikuwa mnaishi na yeye zimmerman kidogo kidogo amenunua hii 2017 BMW X1 diesel , amejengea mama yake , ruracio yake ni next week na alipata kazi Treasury hadi unaanza kujiuliza kama zile Mapera mliiba kwa shamba ya mganga ukiwa class 3 ndo zilikuekea swara🤔
Tweet media one
9
6
43
@KhalifKairo
khalif kairo
2 hours
heres my playlist.or.
Tweet card summary image
music.apple.com
Playlist · 157 Songs
@Brian_K02
Brian
2 hours
@KhalifKairo Kairo any reggae classics recommendations.
1
1
5
@KhalifKairo
khalif kairo
2 hours
Many faces by Gidi Gidi reminds me of an era in Kenyan music that no one else will ever replicate.
9
9
93
@KhalifKairo
khalif kairo
3 hours
Izi gari zimeachana bei na approx 300K but target market ni the same. Forester non turbo ni gari fiti if your looking for something that can do offroad but comfort si priority. The V60 on the other side has better safety, looks and perfomance but iko chini kidogo in terms of
Tweet media one
2
1
21
@KhalifKairo
khalif kairo
3 hours
Uko na boyz wako, mnapiga lap town lakini akiona hizi Subaru Forester anaanza tu kusweat. Kumbe magaidi walisiaga kufuli apo kilimani, wakaingiza jamaa uko Kajiado ati wako na Gold from Congo na akawapea 2M “deposit”🤣.
Tweet media one
2
2
12
@KhalifKairo
khalif kairo
3 hours
Sidhani kuna SUV huhandle corners na stability kuliko Porsche Cayenne
40
23
393
@KhalifKairo
khalif kairo
5 hours
Objective yetu kama ni vijana wapate magari
29
20
227
@KhalifKairo
khalif kairo
7 hours
Ukitaka kujua Forester ni ya Disiyai signs ni kama Rangi dull kama sura zao (Bronze, grey, dark blue) , Dents kila mahali na mingi zitakua na plate zenye hazimake sense kama KAP ama KAM🤣. Hii Forester SJ5 imewekwa saa hii kwa website by a private owner, bei , specs na
Tweet media one
4
1
45
@KhalifKairo
khalif kairo
8 hours
Ukiona gari iko na io sign ya Panga iko chini ya logo unafaa ujue io ni gari ya Mhindi, to be precise hawa wanaitwa Kalasinga. Very tough warriors, na wanavaanga turban kama wakorino. Cheza na link for full specs za hii Pois Kahen, mwenyewe ako parklands na ju ni private seller,
Tweet media one
2
8
99
@KhalifKairo
khalif kairo
8 hours
Kuna picha ilitrend last week, Mtu wa BMW X1 aligonga jamaa wa Volvo front face ya gari yake ikakaa sura ya mtu ameshikwa akiiba simu CBD. Hizi Volvo emphasis inakuanga safety, infact hii kampuni ndo wali invent the three point safety belt😌.Hapa tuko “Newshape” ya V60, Mali
Tweet media one
1
0
29
@KhalifKairo
khalif kairo
13 hours
Am assuming this high end secret jets prolly have a “scuttle” switch of sorts that disables certain components in the event the jet is captured and when the pilot landed, he triggered it making the aircraft temporarily unairworthy.
@aviationbrk
Breaking Aviation News & Videos
2 days
UK Royal Navy F-35B fighter jet that made an emergency landing at the Thiruvananthapuram International Airport on June 14 successfully departed for Australia on Monday, following extensive repairs and safety checks, according to an official statement from the British High
2
2
22
@KhalifKairo
khalif kairo
13 hours
RT @aviationbrk: An Aeromexico plane nearly collided with a Delta Air Lines plane while landing in Mexico City on Monday. FlightRadar24 da….
0
281
0
@KhalifKairo
khalif kairo
14 hours
Bei ya hii gari ni block ya flats mzima mahali kama Mwiki ama Kiserian. Hizi hubuyiwa na wale wasee wame achieve most bucket list items za maisha, Mashamba ako nazo kama mia, kampuni zinado fiti, watoto walimaliza shule na sasa anataka gari tu ya ku enjoy life pole pole na ka
Tweet media one
21
10
171
@KhalifKairo
khalif kairo
14 hours
Hizi Note apart from uber pia unaweza weka kwa shughuli ya self drive car hire. Ni business model fiti ju per day rate inakuanga kitu 3K , Kakienda kazi 25 days a month hio ni 75K. Lakini admin must warn you, si biashara ya softies. Unaeza pea mtu gari aende ushago migori,
Tweet media one
4
4
51
@KhalifKairo
khalif kairo
15 hours
Stay positive, never envy another man. Face your trials and tribulations with a smile, trust in the most high and stay away from negative energy. The moment you allow hate to take hold, hautawahi appreciate the little joys and blessings of life.
17
38
225
@KhalifKairo
khalif kairo
15 hours
Imagine Kuna bag iko 20 Kilogrammes of Gold hapo Kilimani, Wewe unaishi Huruma. The only problem is you have exactly 30 minutes to drive and collect it. Only vehicle available is this 6 speed manual Suzuki Swift Sport. Utawezana na manyuo ama Itabidi tu umebaki block? .Be
Tweet media one
1
3
31
@KhalifKairo
khalif kairo
15 hours
Imagine all the nice little distractions of life, the jets, the cars the yachts. The major items like GOD, personal achievements and side quests. How do you wake up, with less than 80 years at your disposal to leave a legacy and choose to hate😅🤷🏾‍♂️?.
13
12
129