
Tanzania Today
@TZInfoData
Followers
4K
Following
4
Media
25
Statuses
27
Information, data, updates and relevant news bites from Tanzania
Tanzania
Joined December 2017
Morogoro Town. Safari ya kupeleka Boti ya Uokozi na Wagonjwa ndani ya Ziwa Victoria kutoka Mtwara kwenda Mwanza.
1
2
10
Sisters. Comrades. Commanders in Chief. Tanzania 🤝 Namibia.
6
25
276
The mighty Kilimanjaro in Tanzania. Africa’s tallest mountain. The largest free-standing mountain rise in the world. 📸 @zittokabwe
12
73
579
Kijiji cha Losirwa, Kata ya Esilalei, Monduli. Mwonekano wa miinuko ya Bonde la Ufa, baada ya junction ya Makuyuni kwenye barabara ya Arusha - Manyara.
0
0
7
Kiungo wa Kimataifa wa Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei Toto) Tarehe ya kuzaliwa: 11 Januari 1998 Klabu: JKU, Yanga, Azam.
0
0
8
1949, Julius Nyerere aliruka kwa ndege toka Dar es Salaam hadi Southampton, Uingereza na kisha akasafiri kwa treni toka London hadi Edinburgh, Uskochi. Safari yake hii ilikuwa ya masomo ya umahiri (masters) ambayo alihitimu 1952. Mbali na historia zake nyingine, Nyerere alirudi
8
38
294
👏
0
1
7
Ndugu John Samuel Malecela, tarehe 19 Novemba mwaka 1964 akiwa na umri wa miaka 30, alipofika katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Jijini New York nchini Marekani, kujitambulisha kama Balozi mpya wa Tanzania katika umoja huo. 📸Makavazi ya Umoja wa Mataifa
7
22
271
Galacha wa muziki wa dansi nchini Tanzania (Mwimbaji, mtunzi na mpiga gitaa), Mbaraka Mwinshehe Mwaruka. Mbaraka alizaliwa Morogoro Tanzania Juni 27 mwaka 1944 na kufariki kwa ajali ya gari mjini Mombasa nchini Kenya Januari 12 mwaka 1979.
3
19
134
Hayati Joseph Kasella Bantu, mmoja ya waanzilishi 17 wa chama cha TANU.
5
10
149