TAMWA_Zanzibar Profile Banner
TAMWA Zanzibar Profile
TAMWA Zanzibar

@TAMWA_Zanzibar

Followers
3K
Following
5K
Media
2K
Statuses
3K

TAMWA Zanzibar is a non-partisan not for profit sharing, non-Governmental professional membership organization. #MwanamkeNiKiongozi #ZuiaUkatiliZanzibar

Zanzibar
Joined April 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
3 years
OUR πŒπˆπ’π’πˆπŽπ STATEMENT
5
170
168
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
2 days
"Ni wakati sasa wa kuongeza juhudi ya utolewaji wa elimu ya masuala ya udhalilishaji kupitia vyombo vya habari na maeneo mengine ikiwemo nyumba za ibada na shuleni ili kujenga jamii itakayoheshimiana", Mchungaji LAMEC A. BYONGE kutoka KKKT Zanzibar.
0
1
2
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
2 days
"Wapo baadhi ya wanawake hawakufanya mkutano wa kampeni hata mmoja na hii ni kutokana na changamoto ya kukosa fedha na misaada mengine kutoka katika vyama vya siasa, Nasra Khatib, Mwanachama, TAMWA-ZNZ.
0
3
4
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
2 days
" Jamii inapaswa kutambua makosa yanayofanywa mtandaoni yanayo sheria yake hivyo ni vyema anaefanyiwa makosa haya kuripoti katika vituo vya polisi ili sheria iweze kufata mkondo wake", Inspekta wa Polisi Sadik Ali Sultan kutoka Makao Makuu ya Polisi Zanzibar.
0
2
2
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
2 days
" Tuimarishe juhudi zetu za kupinga vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake na watoto kwa kutoa elimu ya matumizi salama ya mitandao ili kupunguza udhalilishaji mitandaoni" Mjumbe wa Bodi, TAMWA-ZNZ, Mwatima Rashid Issa.
0
3
9
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
2 days
Leo tarehe 06 Disemba 2025 taasisi zinazotetea haki za wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na watoto Zanzibar zimeungana kwa pamoja kuadhimisha Siku 16 za Kupinga Udhalilishaji wa Kijinsia, hafla inayofanyika katika Ofisi za TAMWA Zanzibar, Tunguu. Taasisi hizo ni Jumuiya ya
0
4
6
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
3 days
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
0
2
9
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
7 days
Siku hii inatukumbusha umuhimu wa kuchukua hatua za kupambana na maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi na kuweka mbinu mbadala za kutatua vikwazo vya kifedha ili kuwawezesha wanajamii kupata huduma bora za afya. #srhr #Tokomeza VVU
0
6
11
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
11 days
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
1
4
9
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
12 days
Leo tumekutana na wadau wetu muhimu wakiwemo Asasi za kiraia (CSOs), taasisi za serikali, waandishi wa habari, wahamasishaji jamii (CBs), vyama vya siasa, na wanachama wa TAMWA ZNZ kwa ajili ya kuwasilisha Ripoti ya Maendeleo ya Program ya SWIL kwa mwaka 2024/2025. Ripoti
0
5
7
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
13 days
Tunapoanza kipindi cha siku 16 za kupinga udhalilishaji, mwaka huu tunawekeza nguvu katika kupinga ukatili wa kidijitali dhidi ya wanawake na wasichana. Mtandao salama ni haki ya kila mmoja. #STOPGBV
0
3
4
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
13 days
As we begin the 16 Days of Activism, we stand united to end all forms of digital violence against women and girls. Safe spaces online are a right not a privilege. #STOPGBV
0
4
7
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
1 month
Kila kura ya mwanamke ni hatua kuelekea usawa wa kijinsia katika uongozi.
0
3
5
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
2 months
Kumpa mwanamke nafasi ya kumiliki ardhi ni hatua ya kuleta maendeleo na usawa wa kijinsia katika jamii. Muwezeshe mwanamke Leo, ulete mabadiliko kesho. #mwanamkenikiongozi #mwanamkenatabianchi
1
11
13
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
2 months
Ni Jumatatu nyengine ✨ Leo Dr. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ anashiriki na kuwa miongoni mwa wazungumzaji katika Mkutano wa 5 wa Jukwaa la Uongozi wa Wanawake (Women’s Leadership Forum) ulioandaliwa na @uongozi_institute jijini Dar es Salam. Ushiriki wa Dkt. Mzuri ni
1
9
12
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
3 months
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. JAMII YASHAURIWA KUACHA KUWACHUKUA WATOTO KWENYE MIKUTANO YA KAMPENI.
13
23
33
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
3 months
Kila habari nzuri ni hatua kuelekea jamii yenye usawa.
0
16
17
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar
3 months
Mh. Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes, na ujumbe wake wamekutana na waandishi wa habari na content creators ili kusikia simulizi za mafanikio yao kupitia program ya SWIL. Kupitia mafunzo ya wanawake na uongozi, waandishi wamekuwa daraja muhimu la kusambaza habari,
0
13
16