@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
5 months
Baadhi ya vijana waliopata ajira ya muda kupitia Mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) wakiwa katika picha ya pamoja na Rasi wa Ndaki ya Kilimo Dkt. Nyambilila Amuri baada ya usaili uliofanyika Ukumbi wa Multipurpose Kampasi ya Edward Moringe, Morogoro.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
11
79

Replies

@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
5 months
Vijana 294 ambao wamepatikana awamu hii ya kwanza wanaenda katika sekta ndogo ya kilimo cha pamba wakiwa ni Maafisa Kilimo, Maafisa Kilimo Wasaidizi na Wahandisi Kilimo
0
2
9
@Jimmychilipweli
Jimmyulenga
5 months
@SokoineU Safi. Wakapambane
1
0
4
@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
5 months
@Jimmychilipweli Hakika hilo ndilo la msingi
0
0
2
@MsomiKhan18
Msomi Khan
5 months
@SokoineU Kila lakheri kwa Vijana.
1
0
2
@Martinlaurent02
Marola crop scientist🇹🇿.
5 months
@SokoineU Congratulation mates
0
0
2
@jimztz
Jimz Technologies Co. Ltd
5 months
@SokoineU 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
0
0
2