@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
6 months
Ndaki ya Kilimo, Idara ya Lishe na Sayansi ya Mlaji imekutana na wadau wakiwemo waajiri kutoka Sekta za Umma na Binafsi katika kikao cha kuboresha mitaala programu zinazofundishwa na Ndaki hiyo, lengo ni kuona mitaala mipya inagusa mahitaji muhimu ya sasa katika kumuandaa mhitimu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
14
84

Replies

@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
6 months
Unaweza kusoma zaidi kupitia kiungo hiki
0
0
4
@Eric12133570
Eric Forrest
6 months
@SokoineU Msisahau watu wa rural development ambao wanazalishwa hapo na wengi wao hawana ajira. Ktk Hilo boresheni hiyo idara ihusike ktk policy management and project development and Management.
0
0
0
@GabbyMolliens
Mwanachuo Mpole
6 months
@SokoineU @sarah_makweba congratulations for attending and representing the undergraduate students🎉👊
0
0
2
@GabbyMolliens
Mwanachuo Mpole
6 months
@SokoineU Haya maboresho ya mitaala yatasaidia sana ,kwa sababu Wanafunzi wa Human Nutrition tunapoenda Field tunapata changamoto sana kwa sababu ulicho nacho kichwani na mazingira ya kazi yanakua ni tofauti sana.
0
0
1