@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
7 months
SUA imepokea Tuzo kwa kushika nafasi ya kwanza katika uandaaji na uwasilishaji wa taarifa bora ya mahesabu kwa viwango vya kimataifa kwa hesabu za 2021/22 kwa upande wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini zilizoshindanishwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi Nchini (NBAA).
Tweet media one
1
18
87

Replies

@mrdata_99
mrdata_99
7 months
@SokoineU Hongereni sana,, ni wapi tunaeza kuzipata hzo Financial statements zenu.?
0
0
0