@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
8 months
Baadhi ya Wanafunzi wanaoendelea kuripoti SUA kwa ajili ya kuanza masomo ya mwaka wa kwanza 2023/2024 wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi hapa Chuoni Ndg. Lusotola Philipo baada ya kupokelewa katika Stand ya Msamvu, Morogoro tarehe 23.10.2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
15
63

Replies

@Captain_maluu
Maluu
8 months
@SokoineU Wakalime sasa
0
0
1
@MajeshBakar
Majeshi
8 months
@SokoineU Wambieni nakodisha baiskeli na rainboots za kwendea shamba na darasani
0
0
1
@gachinoma
Gachinoma🌴
8 months
@SokoineU Wajiandae kwenda Magadu farm
0
0
0
@FranceFrimin
France Frimin
8 months
@SokoineU SUA nguvu moja
0
0
2
@NoreenToroka
Noreen Toroka
8 months
@SokoineU Mmefanya lililojema♥️
0
0
0