@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
9 months
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo tunawapongeza na kuwatakia heri katika majukumu yao.
Tweet media one
4
10
91

Replies

@simplychale
Charles
9 months
@SokoineU Pongezi kwa mwalimu wangu Dr. Philip Damian. Macroeconomic course aliifanya ionekane rahisi Sana kwangu. Kiufup yeyei ni mjuvi Sana kwenye uchumi.
0
0
2
@kasulukwetu
Kasulu
9 months
@SokoineU Naona taratibu mnakimbia kwenye kilimo. Badilisheni jina liwe tu Chuo Kikuu cha Sokoine. Hiyo agriculture futen
1
0
2
@gasantogel
gasantogel
9 months
@SokoineU Kwa mtindo huo vyuo vikukuu hamuoni mtabaki na wakufunzi wasiobobezi? Pili, kwenye lecture thytres mbona mnakuwa wakali wa kushusha nondo mkienda serikalini mPhD mnayaacha mageti ya vyuo vikuu?
0
0
0
@nelson_mnyanyi
Nelson Mnyanyi
9 months
@SokoineU @judyvalek Congratulations to all nominated Academicians
0
0
0