@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
11 months
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa kwanza kwa kundi la vyuo vikuu na vyuo vya kati na mshindi wa pili wa jumla katika maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
7
63

Replies

@DsYohane
Y.D.S🇹🇿
11 months
@SokoineU Hongera sana
0
0
0