
KBC Radio Taifa
@RadioTaifaFM
Followers
71K
Following
109K
Media
17K
Statuses
92K
Ukurasa Rasmi wa KBC Radio Taifa. Stesheni ya shirika la utangazaji nchini KBC.
Nairobi, Kenya
Joined May 2013
Lake Nakuru fish now fit for human consumption, tests show .
kbc.co.ke
The Kenya Marines and Fisheries Research Institute (KMFRI) has defended the quality of fish catch from Lake Naivasha amid fears of pollution on rivers flowing into the water body from the catchment.
0
0
0
Seneta sifuna anapotosha taifa ilhali ODM ilitia saini ushirikiano wa kufanya kazi na Serikali ya Kenya Kwanza ambao unafanya kazi vyema. Alitia saini hati hiyo. #KBCRadioTaifa ^FN
0
0
0
Timu ya Kenya kwa mashindano ya Riadha Duniani yatajwa .
swahili.kbc.co.ke
Wanariadha 58 wameteuliwa kuiwakilisha Kenya katika Makala ya 20 ya mashindano ya Riadha Duniani mjini Tokyo, Japan, kati ya Septemba 13 na 21 mwaka huu.
0
0
0
Duale apokea ripoti ya ulanguzi wa viungo vya binadamu .
swahili.kbc.co.ke
Waziri wa Afya Aden Duale leo amepokea ripoti ya kamati hurui ya watu 13 aliyobuni kuchunguza madai ya ulanguzi wa viungo vya binadamu katika hospitali ya Mediheal Eldoret.
0
0
0
RT @Abraha1Brighton: Kwamala Yakwanza. Post yangu Kenya Inakuwa Post of the day Kenya nzima thanks for love @RadioTaifaFM
https://t.co….
0
1
0
Marupurupu ya wanagenzi wauguzi na matabibu yapunguzwa .
swahili.kbc.co.ke
Marupurupu ya wauguzi wanagenzi na matabibu yatapunguzwa kufuatia agizo la mahakama wiki jana.
0
0
0
Koome: Matamshi ya uchochezi ni hatari kwa usalama wa Taifa .
swahili.kbc.co.ke
Jaji mkuu Martha Koome ameonya kwamba matamshi ya uchochezi na makundi ya wahuni yanapasa kukabiliwa vilivyo, akiyataja kuwa hatari kwa usalama huku nchi hii inapojiandaa akwa uchaguzi mkuu wa mwaka...
0
0
1
Kwenye Gumzo Pevu hii leo tunaangazia usalama wa chakula nchini. @DorahManya #Zinga #KBCRadioTaifa ^FN
0
1
5
Serikali inajitahidi kupunguza misongamano Nairobi, asema Mudavadi .
swahili.kbc.co.ke
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, amesema serikali inajizatiti kukabiliana na zimwi la misongamano Jijini Nairobi. Mudavadi aliyepia waziri wa Mambo ya Nje, aliangazia kwa kina hatua...
0
0
1
Kesho kwenye Gumzo Pevu tutazungumzia Usalama wa Chakula humu nchini. Wageni ni Fredrick Ochieng kutoka @BiovisionAfrica.na Dorothy Nditi (Head of Food security - office of the DP) . Ungependa tuulize Swali gani. ?. #FoodSecurity #agroecology.@KcoaKhea.@TofOrganic
0
1
2
TWENDE KAZI! Ushindi kwa Harambee Stars ni Ushindi wa Taifa. , tujitokeze tuwashabikie. Vile vile Tune in KBC Channel 1 TV Kwa Uhondo zaidi!! . #CHANikoKBC ^FN
0
0
0
#ZINGA: Mambo vipi wajanja. Leo ni #WCW , Ushawahi Crushia Mtu . Alafu. ?.ama Ulinywea . 😄😅, Tupe Hadithi yako. #KBCRadioTaifa ^FN
18
6
22