
Amb. Humphrey H Polepole
@PolepoleHumph
Followers
10K
Following
504
Media
126
Statuses
263
Ndg, Humphrey PolePole | A concerned citizen on URT | Believe in people centred constitution. Former Resigned, Ambassador Cuba. #KataaWahuni
Cuba
Joined May 2014
Kariakoo mmekubali kwamba babu Rama alijipiga risasi kisogoni na kujiua? . au mawinga mna risasi zinakata kona?. #kataawahuni
6
27
118
We really need a new candidate. we need to break our party and reform it again, .we need to free our party from deepstate, .meet to negotiations and process election which is free and fair, with all political cases closed and victims freed. #Tanzaniafirst.#KataaWahuni
7
36
132
RT @MariaSTsehai: Today starting now we proclaim #IAmTunduLissu - a campaign demanding justice for Lissu!.We demand that @judiciarytz prese….
0
382
0
"Kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani" .This is maladroit statement which deserve an apology. Samia doesn't fit as our party presidential candidate, . Deepstate can't be accepted and can't be allowed, .We need back our country. #Kataawahuni
15
87
492
Mwambieni Kamwaga,. Nikipewa kazi huwa sibahatishi,.Nikitoa taarifa huwa ni fact, . Mwandishi mwandamizi kama yeye hatakiwi kutumia Google AI (Gemini) kujifunza wakati AI asilimia zaidi ya 99% zipo kwenye beta phase, kwahiyo zinahitaji kujifunza toka kwake. #Kataawahuni
53
102
568
Mama samia analazimisha uongozi na kwenye kampeni alipaswa kuwasema akina Salim Mwalimu ambao ndio anagombea nao, sio kuwasema Chadema ambao hawapo kwenye uchaguzi amewapiga pini na kusema wameweka mpira kwapani. #Kataawahuni
20
59
256