Miriam Odemba
@Odemba4
Followers
9K
Following
7K
Media
2K
Statuses
10K
Founder of odemba model search miriamodembafoundation. Model
Paris, France
Joined August 2012
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa ufadhili wako wa ukarimu, ambao una jukumu muhimu katika kuendeleza dhamira ya taasisi yetu. Usaidizi wako hutatuwezesha kufanya matokeo ya maana na kuunda mabadiliko chanya katika jamii. Asante kwa kuwa sehemu muhimu ya safari yetu.
1
3
24
Nimesikitishwa sana na kushtushwa sana na kifo cha ZaiAlipendwa kweli, na uwepo wake ulileta furaha kwa wengi. Roho yake ipumzike kwa amani na faraja ya Kristo. Namuombea Mungu awatie nguvu na kuwafariji familia yake na wote walio katika majonzi katika kipindi hiki kigumu
0
1
3
Watanzania, GEN Z MSIRUDI NYUMA, USHINDI MNAO. ENDELEENI KUANDAMANA KWA AMANI
66
221
937
⏰ Clients Have Seen Results Within... Experian: 24-72 Hours Transunion: 10 Days Equifax: 14 Days We provide a 150 point warranty and it’s $0 to get started!! Get those Collections, Inquiries, Late Payments, and Chargeoffs Removed ASAP!
0
0
10
MIANZINI ARUSHA muda huu, ofisi za CCM zinachomwa moto. Maandamano yanaendelea ikiwa ni siku ya 3. Madai ya waandamnaji, Matokeo ya uchaguzi yafutwe, KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Tume huru ya uchaguzi na utawala wa Haki. #mo29
18
97
455
SHUJAA: SHUJAA: SHUJAA AMKA OMBA MSHUKURU MUNGU KWA MANENO YA KINYWA CHAKO JUU YA NCHI YETU YA TANZANIA NA MAISHA YETU BINAFSI: :ZAIDI IKABIDHI SIKU HII MKONONI MWA MUNGU AITUMIE JINSI APENDAVYO NA ATAKAVYO YEYE: :3 YOHANA 1:2
0
0
0
model and founder of the Miriam Odemba Foundation (MOF), Miriam Odemba, is calling on Tanzanians to unite in support of an infrastructure rescue mission for Mwendapole Primary School in Kibaha District. Read More:
therespondents.co.tz
Miriam Odemba Foundation, MOF, Mwendapole, Kibaha, Miriam Odemba, Charity, Donation, Education, Health, Tanzania, Menstrual Hygiene, Safety
0
1
2
The Miriam Odemba Foundation has sponsored a friendly football match between members of the Journalists’ Union for Development and Welfare (JUMIKITA) and a team from Middo Store, as part of its ongoing commitment to youth Read More:
therespondents.co.tz
MOF, Miriam Odemba, Middo Store, JUMIKITA, Mpira, Urafiki, Bonanza, Miriam odemba Foundation, Mikocheni, GSM, Dar es Salaam, Tanzania
0
0
2
Maana waaminifu wametoweka katika Wanadamu husemezana yasiyofaa kila mtu na mwenziwe, wenye midomo ya kujipendekeza.husemezana kwa mioyo ya Unafiki.
1
0
3
Top Model Miriam Odemba Exposes Sexual Exploitation in Tanzania’s Fashion Industry
0
0
1