Mwanahalisitz Profile Banner
MwanaHALISI Digital Profile
MwanaHALISI Digital

@Mwanahalisitz

Followers
351K
Following
115
Media
29K
Statuses
33K

MwanaHALISI Digital ni Ukurasa wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers wamiliki wa magazeti ya MwanaHALISI, MAWIO, MwanaHALISI Online na MwanaHALISI TV

Dar es Salaam
Joined December 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
23 seconds
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa serikali haiwezi kutaja idadi ya watu waliokufa kama ambavyo ilivyotoa idadi ya magari na mali kwa kuwa suala la idadi za watu linagusa hisia za watu.
0
0
0
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
39 minutes
Tengeneza pesa ukiwa na Meriidnabet leo kwenye mechi za UEFA. Ingia kwenye akaunti yako na utengeneza jamvi la ushindi. Kwa wale wa USSD na vitochi piga, *149*10#. #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette #oddskubwa
0
0
2
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
42 minutes
Haujasahaulika. Cheza spins 100 kwenye mchezo wa Wild White Whale ujipatie spins 50 bure kabisa kila siku kutoka meridianbet. Jisajili mtandaoni na kwa wale wa USSD na vitochi piga *149*10#. #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette #oddskubwa
0
0
0
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
47 minutes
WAANDISHI WAMBANANISHA WAZIRI MKUU DK. MWIGULU NCHEMBA WAMTWANGA MASWALI... https://t.co/CSlQBiROUS
4
1
12
@davidcasem
David Casem
4 days
The coming years will split companies into two groups: those that become AI-native and those left catching up. The innovators who harness AI now will define the winners of tomorrow. Follow me for strategic insights on leading through the AI revolution.
0
9
88
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
58 minutes
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile, amesema kuwa jukwaa hilo halina ugomvi na Naibu Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda "Makonda alipoteuliwa nikaanza kupokea meseji tutafanya naye kazi , nataka niwatoe wasiwasi kuwa sisi hatuna ugomvi na Makonda
6
1
18
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
1 hour
"Kwenye imani yangu kumwaga damu ya mtu mmoja sio baraka katika ardhi husika tunatoa pole kwa familia ambazo nikutwa na madhira haya, ombi langu sote na kila mmoja kwenye dhamira tunuie yake jambo la aina hii tusiruhusu lijirudie tena nchi yetu sio Baraka," DK. Mwigulu Nchemba
1
0
1
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
1 hour
Ni hujuma ya wazi ya kiuchumi dhidi ya Tanzania Miaka yote hakujawahi kutokea wependa Tanzania namna hii baada ya kwamba mradi wa LNG (mradi wa gesi asilia Lindi) utakaofanya Tanzania kuwa moja wa wazalishaji wakubwa wa gesi asilia duniani eti ndio Watanzania wagawanyike vipande
9
1
7
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
4 hours
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete ameitaka Sekreterieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuweka wazi mchakato wa ajira 12,000 zilizotangazwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan wakati akifungua Bunge.
10
2
51
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
4 hours
Watu watatu wamefariki na wengine watano kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya ABC lililokuwa likitoka Iringa kuelekea Dar es Salaam kugongana na basi la Kelvan International lililokuwa likitoka Morogoro kwenda Songea, ajali iliyotokea eneo la Ng’apa, Mikumi.
2
1
34
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
4 hours
BAADA ya agizo lilitolewa jana na Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, kuhusu kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na uzima la Askofu Josephat Gwajima, waumini wamekusanyika nje ya jengo la kanisa hilo wakisubiri kukabidhiwa rasmi kanisa lao.
1
0
27
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
4 hours
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Slovakia Robert Fico, kando ya Mkutano wa 7 wa Viongozi wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya (AU-EU Summit), unaofanyika Jijini Luanda nchini Angola.
1
0
20
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
5 hours
Wakili Peter Kibatala alivyowasili Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufuatilia usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara maarufu mtandaoni Jenifer Jovin maarufu kama Niffer pamoja na wenzake 21.
0
4
37
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
5 hours
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu leo tarehe 25 Novemba 2025 inatarajia kutoa uamuzi uhalali wa hati ya mshtaka kwenye kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara Jenifer Jovin (Niffer) na wenzake 21.
0
0
63
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
8 hours
KUMRADHI TULIWAHI kuchapisha huko nyuma taarifa inayomhusu Muhaji Rashid Hakimu ikidaiwa alikamatwa na Takukuru, Mtwara kwa tuhuma za kutoa rushwa wakati wa uchaguzi. Lakini tukajiridhisha haikuwa na ukweli. Hivyo, tunachukua nafasi hii, kumuomba radhi kwa usumbufu uliyotokea.
8
4
52
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
1 day
RC CHALAMILA ATAJA SABABU YA SERIKALI KUCHUKIWA "WALITAKA KULIPUA MITAMB... https://t.co/JVzV06edEd
0
0
22
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
1 day
Fedha za 9 Desemba kujengea miundombinu Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba 2025 hazitafanyika na fedha zilizotengwa kwa ajili ya sherehe hizo zitafanya ukarabati wa miundombinu.
6
0
18
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
1 day
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba ametoa siku 10 kwa Wizara ya Ujenzi kukaa na wadau wa sekta binafsi ili warejesha huduma za mabasi ya mwendokasi yaliyositishwa kutokana na vurugu zilizotokea tarehe 29 Oktoba 2025
2
0
44
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
1 day
Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kulifungulia Kanisa la Uzima na Ufufuo na wawe chini ya uangalizi kwa miezi sita. Pia kama kutatokea kiongozi amekosa atashughulikiwa yeye badala ya taasisi yake.
7
2
49
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
1 day
Mahakama ya Hakimu mkazi wilaya ya Ilemela jijini Mwanza imewaachilia Jumla ya washtakiwa 57 walioshtakiwa na makosa ya uhaini ambao walikamatwa kwenye vurugu za tarehe 29 Oktoba 2025, zilizosababishwa na maandamano ya vijana kwenye maeneo mbalimbali nchini.
2
5
48
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
1 day
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba 2025 hazitafanyika na fedha zilizotengwa kwa ajili ya sherehe hizo zitafanya ukarabati wa miundombinu.
18
4
135