Vitu vinavyokwamisha mapambano;.1. Kutojua adui sahihi ni yupi?.2. Kuongozwa na hisia zaidi kuliko mantiki. 3. Kutojifanyia tathmini binafsi ya kuaminika. 4. Kuchanganya madai binafsi na ya umma. 5. Kutoruhusu mawazo mbadala yanayojenga.
Wanatoa taarifa za X kufungiwa kupitia posts humo humo X. Wanaopinga X kufungiwa wanafanya kupitia posts kwenye mtandao huo huo wa X. Na mimi nawashangaa hao wote kwa post ya humu humu X. CONFUSED!.
If you are mostly viewing political posts here, definitely it will be the source of your stress and depression. THE REAL LIFE IS OUT THERE AND NOT HERE.