Ismail
@Mofey203
Followers
1K
Following
11K
Media
540
Statuses
14K
Leo nillipotoka ground tu kunyoosha viungo nikarudi ghetto direct wala sikutaka kwenda sehemu yoyote ile tofauti na ndani kwangu Nimenusa hali ya hatari ambayo ingesababisha taharuki mno 💔
0
1
1
Hili life nisipokaza,mama amina anaweza miliki gari kabla yangu 🤔......
2
5
14
Si unaona mwenyewe Bellingtired kasubiria msim mzima kuitwa Best in the world
3
8
14
Mimi sio mtu wa sector ya Afya , ila wauza dawa(wafamasia) wengi wanapenda kujilinganisha na ma MD , suluhisho wapewe makoti mekundu MD meupe
4
3
15
Sema kuna namna wafanyabiashara hususani wauza mavazi wanatumia madawa ya kukuvuta ununue bidhaa zao then ukishanunua na kurudi home unaanza kujilaumu ni kwelii mm ndo nimenunua hii nguo mbona mbaya wakati unanunua ulikua unaiona kali kinyama😂🙌.
1
3
4
Wifi yenu kaja geto alafu na mvua nje inanyesha qmmke 😋😋Mungu bariki na wengine sasa
6
6
5
Haka kafurushi nmeagiza kutoka Korea ndio kamefika leo hit DM ujipatie bure corona ipo na inaua.. KAULI MBIU: ZUIA MAGONJWA YA MLIPUKO.
13
26
96
Kwa iyo mpaka awa wadada hawatakuwepo na wao watafunga shughuli zao iyo siku ya 29 October, ? Binafsi sijapenda unatufungia hospital wagonjwa tutibiwe wapi?
0
4
10
Unaniubilia amani uku kichwani umevaa wigi nakuona kama msenge tu 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
0
5
8
Leo nilikuwa napitia pitia hii rasimu ya katiba kuna haki nyingi sana htuzijui 😂😂 Imagine kwenye ibara ya 129 kifungu no 1 "Wananchi wana haki ya kumuondoa mbunge wao kama anaunga sera zinazoendana kinyume na wapiga kura " Kushindwa kutetea hoja na kero za wapiga kura Ova.
3
12
34
COMPANY : PARIPESA📌 MONDAY PACKAGE SLIPS🔥🔥 ODDS 10👉 : QYV87 ODDS 2.0👉 : HD987 Hauna account ya PARIPESA? Jisajili👇 https://t.co/XFIPPmJXlH Application👇 https://t.co/kPBH78roam Promocode andika : INJINIA Bonusi mpaka 380K ☎️+255627461577-WhatsApp @the_engineer777
1
2
3
Kama askari Polisi (ZCO, Mafwele) anauwezo wa kuwakamata Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi na kuwaweka Mahabusu na kutangaza kuwaua basi Mafwele ni zaidi ya Amiri Jeshi mkuu wa Nchi hii.! Haya ni matusi ambayo hayajawai kushuhudiwa kabisa, Oktoba 29 tusipomdhibiti Samia TUMEKWISHA.
34
116
725
Jamaa kaingiza zaidi ya followers 50+ ndani ya siku moja kumamake sio msanii wa kuimba wala kuigiza bro who are you🫡🫡🫡 @Sativa255
5
6
36
COMPANY : FANSPORT📌 MONDAY PACKAGE🔥🔥🔥 ODDS 4.15👉 : 8N287 ODDS 2.1👉 : VL387 Hauna account ya FANSPORT? Jisajili👇 https://t.co/94TfqLzCjB Application👇 https://t.co/MpRB2XUtp6… Promocode : INJINIA STAKE HIGH WIN BIG💰 ☎️+255627461577-Free WhatsApp @the_engineer777
0
4
3
Naomba Repost Vijana Tupone🙏👋 USIKUBALI KUDHALAULIWA KWENYE NDOA au KWENYE MAHUSIANO YAKO ●Maasai Herbal Clinic Tunakuletea Dawa Asilia Mbalimbali👇🌿🌿. 🟢Yawezekana unasumbuliwa na👇🏿 ⭐️Uume dhaifu au mfupi ⭐️ Kutodumu kitandani ⭐️ Kukosa hamu ya tendo ⭐️ Madhara ya
18
30
35
Mfano ukampa mimba msichana wa miaka 16 ni Yatima hana ndugu ila kimuonekano ni mkubwa, Ule wakati wa kujifungua hospitali wakagundua ana miaka 16 wanaweza kukuitia polisi? NB: Asking for a friend.
18
6
71