Matayo Zebedayo Profile
Matayo Zebedayo

@MatayoZebedayo

Followers
624
Following
9K
Media
4K
Statuses
13K

young entrepreneur, i believe in god and am living my life

Dodoma
Joined September 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
10 minutes
RT @TanzaniaYaMama: 𝗛𝗮𝗱𝗶 𝗸𝘂𝗳𝗶𝗸𝗶𝗮 𝗙𝗲𝗯𝗿𝘂𝗮𝗿𝗶 𝟮𝟬𝟮𝟱, 𝗹𝗲𝘀𝗲𝗻𝗶 𝟭,𝟮𝟳𝟬 𝘇𝗮 𝘂𝗰𝗵𝗶𝗺𝗯𝗮𝗷𝗶 𝗺𝗱𝗼𝗴𝗼 𝘇𝗶𝗹𝗶𝘁𝗼𝗹𝗲𝘄𝗮. 𝗨𝘁𝗼𝗹𝗲𝘄𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗹𝗲𝘀𝗲𝗻𝗶 𝗵𝗶𝘇𝗶 𝘂𝗺𝗲𝗲𝗻𝗱𝗮 𝘀𝗮𝗺𝗯𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗻𝗮….
0
16
0
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
10 minutes
MAMA anawatoa vijana mtaani na kuwapa ujuzi unaobadili maisha yao. Karisha Ezekiel anasimulia safari ya maisha yake hadi kufika VETA. #OktobaTunatikiSamia
0
0
1
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
14 minutes
ituo kinachofuata ni Oktoba 29. Na abiria wanasema #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
0
1
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
15 minutes
RT @magogonidaily: Kizuri hakihitaji nguvu kukiuza. Kazi za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu zinajisemea zenyewe ndani na nje ya nchi. #Oktob….
0
20
0
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
15 minutes
Mambo ya kupanda juu ya miti au kutafuta kilima ili kupiga simu hayapo tena. Uhakika wa mawasiliano unalinda haki za wananchi ikiwemo kutafuta, kupata na kutoa habari. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
0
1
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 minutes
Mageuzi makubwa yaliyofanywa katika kipindi cha miaka mitano katika sekta ya uvuvi yamewawezesha wavuvi kuvua tani 80,000 za samaki, hivyo kuongeza kipato kiuchumi na kuifanya sekta hiyo kuwa tegemeo. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
0
1
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
16 hours
Kuanzia Agosti 28 mwaka huu hadi Oktoba 28 mwaka huu, hali itakuwa hivi katika kila eneo atakapopita Rais Samia Suluhu Hassan. Wananchi wanamshukuru kwa mengi aliyowafanyia na wanasema #OktobaTunatikiSamia.
Tweet media one
0
2
3
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
16 hours
Miaka minne ya Mama tumesajili miradi 2,175. Watanzania zaidi ya 650,670 watapata ajira, zitakazobadili maisha yao. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
2
3
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
Daraja la JP Magufuli ni zaidi ya daraja. Ni usalama usalama wa wananchi na kiungo muhimu kwa maendeleo ya Kanda ya Ziwa. Asante ya wakazi wa Kanda ya Ziwa ni Kura ya NDIYO. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
1
1
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
Mama amefikisha umeme kwenye vijiji vyote nchini. Kazi inayoendelea sasa ni kusambaza kwa wananchi. Umeme huo umezalisha ajira, usalama na kukuza biashara na uwekezaji. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
0
1
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) limemshukuru Rais Samia kwa makubwa aliyowafanyia yakiwemo;. - Nyongeza ya mishahara.- Kupandisha madaraja.- Kulipa madeni.- Kuboresha mazingira ya kazi. Mama anawajali watumishi kwani ni nguzo ya maendeleo ya taifa.#OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
2
2
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
Alipo Mama, wananchi nao. Jambo la wananchi ni jambo la Mama. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
1
2
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
Bajeti ya Mahakama imeongezwa kwa asilimia 93. Bilioni 166.2 mwaka 2021. Bilioni 321 mwaka 2025. Mama anajali haki ndiyo maana anaimarisha uwezo wa mahakama. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
0
1
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
Amiri Jeshi Mkuu wetu. Mtu wa kazi zenye matokeo. Maneno kidogo , vitendo kwa wingi. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
2
2
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
Hatua atakazochukua MAMA kuimarisha akiba ya fedha za kigeni;. 1. Kuongeza akiba ya dhahabu .2. kuongeza mauzo ya bidhaa nje ya nchi.3. Kudhibiti fedha za kigeni kutumika katika matumizi ya kawaida.4. Kutoagiza bidhaa zinazozalishwa nchini. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
2
1
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
RT @magogonidaily: Ushindi ni watu. Mama ana watu. Tujiandae kwa ushindi. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
53
0
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
Kiongozi ni watu. #OktobaTunatikiSamia
0
1
2
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
MAMA ametimiza ahadi ya kuwapatia wachimbaji wadogo mitambo 15 ya uchorongaji. Mitambo itawapunguzia gharama ambazo walitumia kukodi mitambo binafsi, hivyo itaongeza faida kwenye biashara zao. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
2
2
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
RT @magogonidaily: Tangu mwaka 2020, wanawake wamepewa mikopo isiyo na riba TZS bilioni 99.5. Hiki ni moja ya vikundi vilivyonufaika ambap….
0
67
0
@MatayoZebedayo
Matayo Zebedayo
18 hours
Huduma bora kwa wananchi zinaanza na mazingira bora ya kazi kwa watumishi. Haya si mabadiliko ya majengo, ni maboresho ya huduma kwa wananchi. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
1
2