@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
2 years
πŸ‘πŸ½Safi sana kaka @HecheJohn Walikuwa hawana taarifa kuwa utakuwepo eh? 🀣 Yaani ulipoanza kuuliza maswali hadi mood ilibadilika 🀣 Well done @ChademaTz msirudi nyuma πŸ‘ŠπŸ½ Polisi waache kutumika na wanasiasa πŸ™„ mwisho wa siku watakuja kulia tuwatetee wakitupwa nje #TutaelewanaTu
92
252
966

Replies

@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
16
20
212
@JOnjero
OJ
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Heche utampenda tu alishajitoaga ufahamu zamanii...hawa wasakatonge wanaotumwa kama mazuzu hawawezi kumsumbua .... yaani kuna watanzania wenzetu ni wajinga na wapumbavu sana...
0
0
0
@ChotaAlly
Mtanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ @HecheJohn anamuuliza Polisi unazuia watu kufanya kazi zao wewe nani kakuzuia kufanya kazi yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kuna wakati Polisi wetu wanatakiwa wajue wao wapo kwa ajili ya Watanzania wote siyo watumwe na mtu kwa maslahi ya mtu mmoja. Kodi zetu ndo zinazo walipa mishahara
0
5
44
@BabaMachenga
Baba Machenga
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz @HecheJohn NI JEMBE SANA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kamuuliza maswali ya msingi sana alafu akamalizia twendeni kwenye kikao πŸ˜‚πŸ˜‚ huu ndo ujasiri tunaoutaka kila Mtanzania ajitokeze na kukemea huu uvunjifu unaofanywa na watu wachache nsani yavyombo vyetu vya usalama .
1
5
33
@UmojaSarwatt
Sarwatt
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Nawashangaa sana Polisi wa nchi hii embu muwaache wanasiasa wapambane kwenye majukwaa au acheni kz ya upolisi muungane na ccm tujue moja
0
5
27
@ikramu30074465
ikramu
2 years
0
0
2
@pantaraogrande
RIVAL✌️
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz I love it,here we go. Kuirudisha mikononi mwa wananchi hii inchi inawezekana,ni suala la muda tuu. Mungu azidi kutujaalia wakina @HecheJohn 1,000+ wakutosha,vijana wataamka tuuu.
1
2
11
@MalingaZe
DE BOSS MALINGA
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Police tz ni Chombo Cha hovyo kabisa Yani bado hawajifunzi tuu.... Mavi kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
0
3
7
@MlangwaH
Elangwa Elangwa
2 years
Tweet media one
0
1
13
@MlangwaH
Elangwa Elangwa
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz @HecheJohn anastahili to be a next CDM CHAIRMAN
0
2
21
@ChendeSeif
Mandela βš–οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Mwamba mpiga spana live🀾
1
1
5
@TYAlcapone
TheChronic
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Shusha bendera ya chama uone... βœŒβœŒβœŒβœŒπŸ‘πŸ‘πŸ‘, we need people like Heche, he got some nerves
0
5
33
@Prophet_Laizer
Prophet Abraham Laizer
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Kujua Haki Zako Kunakupa Ujasiri Mkubwa Sana! Hongereni Kaka @HecheJohn
0
4
10
@Davidbeatuc
BeatucπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™πŸ™
0
1
8
@Mussa_S_R
Mussa Ramadhan
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz John Heche no mwamba was hatar,yote kwa yote Hawa jamaa wamekamilka kwa kila Aina ya ujasili,mungu atawalipa siku moja inshallah.
0
1
4
@CharlsFrost
Charls Frost
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Hii katiba itatutesa mpaka tunaingia kaburini kama haitabadilishwa
0
0
1
@ItsRobertdon
KIJOGOO πŸ“
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Heche ni aina ya viongozi wachache wa kutumainiwa katika nchi hii! Hana uoga na anaongea facts mda wote ni ngumu sana kumtoa kwenye reli! I like this confidence aiseπŸ’ͺπŸΏπŸ™πŸΏ
0
7
33
@BabyLaneP
Lord of the Skies @BabyLane
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Hii nimeipenda amesimama na guts za kutosha na hoja mpaka jamaa wanashindwa kujibu wamebaki wanashangaa tu. Well done
0
2
14
@Athuman56484976
Athumani Msuya
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Hongera sana heche tukopamoja
0
0
3
@illiy26ers
Illiy
2 years
@MariaSTsehai @HecheJohn @ChademaTz Muraaaa amang'anaa mwambaa πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
0
0
2