KabyJoseph Profile Banner
Joseph Kaby Profile
Joseph Kaby

@KabyJoseph

Followers
6K
Following
4K
Media
403
Statuses
6K

Professional Ad expert🚦Facebook🚦Google🚦TikToK 🚦 DTC and local lead Gen.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@KabyJoseph
Joseph Kaby
4 years
"People dont need years to trust your product/service" They only need to know if your product/Service is: - Solving their problems - Easy to Access - Quality enough to meet their demands. Yes marketing takes time but not Centuries
8
94
314
@NyandaAmosi
AmosiNyanda
18 days
Mzigo Upo Tayari Kuingia Sokoni—Awamu Hii Hakuna Softcopy! PS: Madini Yanaingia Sokoni rasmi siku ya Jumamosi Asubuhi—Nitaweka Link yenye Copy ya Jinsi ya Kukipata Pamoja na Gharama yake!
12
31
172
@Restore_NJ
Restore New Jersey
10 days
MODERATOR: Are you willing to commit to NOT raise the sales tax? MIKIE SHERRILL: I'm not going to commit to anything right now. On Nov. 4, vote NO on Mikie Sherrill. ❌
16
46
160
@KabyJoseph
Joseph Kaby
6 months
Wimbo wa Zuchu “Kwikwi” hupigwa sana kwenye birthdays za watoto. Infact ni wimbo pendwa wa kuchezeka kwa watoto wengi. But lyrics zake sasa 😆😆 Mtoto wa jirani hapa 12 years kaniuliza. “Ilivyo long inakwangua makoko” Zuchu alimaanisha nini? Nilimpa Majibu ya uongo 😆
2
3
11

Lips denda ni kwa wenye pesa Wewe kapuku ni NDOMO😀😀
0
0
2
@KabyJoseph
Joseph Kaby
7 months
Mufti tunakusubiri wewe tu Sheikh wetu.
1
1
7
@KabyJoseph
Joseph Kaby
7 months
Taifa linakosaje Striker na Mimi nipo? Kama Jana ningekuwepo uwanjani Kibu asinge dhalilishwa vile.😂😂
2
0
13
@KabyJoseph
Joseph Kaby
7 months
Bado nini wakuu 😂😂
5
0
10
@mafolebaraka
Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro)
7 months
Hizi mistakes za sizing zinafanywa sana kwenye ads nyingi sana. Kurasa nyingi pia huwa zinafeli kugrow organically kwa vitu kama hivi. Hata CDM wana tatizo hili
@KabyJoseph
Joseph Kaby
7 months
Mmeliona Tangazo la Mama yuko kazini? Nice video but wrong size, Wametumia square but if I’m not mistaken ile ni 840 X 840 Inapunguza impression na kuongeza CPM Ingekuwa Njema wakaweka 4:5 ratio (1080 X 1080) kwa more visibility. Sema nini Mama anaupiga Mwingi 😜

Government pamoja na political parties, zimeanza kutumia paid traffics kufikisha ukumbe kwa watu wengi through different platforms. But seems like Hakuna structure they just take a post or any picture na some words. I think wanashindwa kutofautisha ad creatives na posters.
3
1
15
@KabyJoseph
Joseph Kaby
7 months
Achana na Global ni product ipi inafanya vizuri locally? Ukiondoa Max malipo (One of the best product we had) nyingine ni ipi?
@mafolebaraka
Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro)
7 months
Sema dunia inaenda kasi sana especially huku kwenye tech. Lowkey ukiachana na product ya Benji sidhani kama tuna startup ingine ya tech ya bongo ambayo imetoboa global. Tbh kuna vitu inabidi turekebisha kama tunataka kwenda global
2
0
5
@mafolebaraka
Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro)
7 months
Hili ni tatizo kubwa sana ukitaka kuchuka cheki influencer 🦒 amewatumia kwenye kulaunch app yake na influencer app nyekundu inatumia kupromote app yao. Kitu nina uhakika hizo deals wangewapa hawa influencers wa masuala ya savings na finance wangepata result bora zaidi.
@KabyJoseph
Joseph Kaby
7 months
Ada (Health app) anatumia “content creators” wasio relate kabisa na maswala ya Afya. Kwani tuna uhaba wa content creators kwenye maswala ya afya? Au popularity ndio msingi mkuu?
1
1
10
@IamOwino
🟢
7 months
Brands nyingi ziko obsessed na follower count & nani anatrend, ishu za relevance mara nyingi haziji hata akilini mwao. Ukiangalia asilimia kubwa ya influencer campaigns, influencers mara nyingi hawaendani kabisa na products wala target audience
@KabyJoseph
Joseph Kaby
7 months
Ada (Health app) anatumia “content creators” wasio relate kabisa na maswala ya Afya. Kwani tuna uhaba wa content creators kwenye maswala ya afya? Au popularity ndio msingi mkuu?
1
1
2
@KabyJoseph
Joseph Kaby
7 months
Ada (Health app) anatumia “content creators” wasio relate kabisa na maswala ya Afya. Kwani tuna uhaba wa content creators kwenye maswala ya afya? Au popularity ndio msingi mkuu?
6
2
31
@KabyJoseph
Joseph Kaby
8 months
Happy birthday to my beautiful daughter She turned 4 years today
6
0
36
@KabyJoseph
Joseph Kaby
8 months
You can’t cry about having a lot on your plate when the goal was to eat.
1
0
9
@KabyJoseph
Joseph Kaby
8 months
Kama wazee walikutengenezea “Easy Life” niko hapa kukwambia enjoy vilivyo bila hata kuona aibu. Mapambano ni magumu sana kwa sisi upande wa pili 😂 Kwa kuongezea tu, tunakuonea wivu
4
4
31
@KabyJoseph
Joseph Kaby
8 months
“Umaskini ni kipimo cha akili” Kauli ya Kinafki Kweli
1
0
9
@KabyJoseph
Joseph Kaby
8 months
Kama wazee walikutengenezea “Easy Life” niko hapa kukwambia enjoy vilivyo bila hata kuona aibu. Mapambano ni magumu sana kwa sisi upande wa pili 😂 Kwa kuongezea tu, tunakuonea wivu
4
4
31
@KabyJoseph
Joseph Kaby
8 months
Mazda CX5 Ni keyword imekuwa searched sana on google last 3 months ikiwa na volume 10K - 100K But guess what ❌NO Local car dealership is bidding for that Keyword. Wote wanatumia social media na wanaacha actual clients on google ambao are actually searching for that specific
2
1
15