
Iric
@Iric_WatchMe
Followers
207
Following
91K
Media
136
Statuses
6K
RT @LeilaHormozi: We stay at our current level until we’ve learned all the lessons it has to teach us.
0
131
0
Leo amerudi kwenye back 3, Alonso is a coward ,no ?.
Unashuhudia makocha Xabi Alonso na Simeone Inzaghi waliopata umashuhuri na mafanikio kupitia mfumo wa back 3 ila leo wapo kwenye timu zao mpya wanacheza na back 4. Sio kwamba ni wajinga au hawana msimamo ni kuwa wapo flexible kimbinu pamoja kuelewa type of player profiles za.
1
0
2