
GOODWILL(Tanzania)ceramics Co Ltd
@GoodwillTz
Followers
22
Following
63
Media
104
Statuses
144
The Company was Established in 2015. Factory Located in Mkuranga ,Pwani, Tanzania. The Park has an Investment of over US$300 Million. Cover an Area of 225 acres
Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2022
Kwa Kuendelea kuwajali Wateja Wetu,Hizi ni sherehe za Ufunguzi wa showroom yetu mpya iliyopo Wilaya ya MKURANGA (VIKINDU)ikiwa imesheheni Bidhaa za Goodwill na Victoria tukifurahi Pamoja na Mafundi Tiles Wakubwa Wilayani MKURANGA. GOODWILL, GOOD TILESVICTORIA FAHARI YA TANZANIA.
0
0
1
Tunapenda kuwajulisha uwepo wa zawadi Mpya kwenye Goodwill App ,scan kuponi zako sasa na uweze kuvuna zawadi mbalimbali. #Goodwill Goodtiles.
0
0
0
Kesho tarehe 17/09/2025 SONGEA tutakuwa na semina ya mafundi tiles kutoka kampuni ya GOODWILL semina itafanyika katika UKUMBI WA AJUCO UKUMBI UPO KARIBU NA PNC # kuanzia saa nne asubuhi. #Karibuni sana Mafundi.
0
0
0
Mpendwa mteja Victoria inakuletea vigae vipya vya ukuta wa nje vijulikanavyo kama VW30X60cm hizi ni tiles mpya zenye nakshi nzuri ya kupendeza na kuvutia ni vigae ambavyo vinapendezesha ukuta wa nyumba na kuupa muonekano wa kipekee.
0
0
0
Kesho tarehe 13/09/2025 MASASI tutakuwa na semina ya mafundi tiles kutoka kampuni ya GOODWILL semina itafanyika katika 📍UKUMBI WA BRAVO INN # kuanzia saa nne asubuhi. #Karibuni sana Mafundi
0
0
1
Goodwill Leo tulikuwa Mtwara katika mwendelezo wetu wa mafundi semina, katika semina hiyo tumepata nafasi ya kuongea na wanamtwara na Kutambulisha vigae vyetu vipya vya Goodwill na Victoria.
0
0
1
Dear customer, Join forces with us and let's build something amazing. By partnering with our company to construct your dream showroom, you'll not only gain a stunning space but also a strategic business advantage.
0
0
1
Muonekanao wa Tiles zetu Mpya za G30194 ,G30195 ,G30196 G30197 za sakafuni zenye ukubwa wa 300X300MM zenye nakshi nzuri na zakupendeza zitakazoupatia muonekano mzuri sakafu yako zinapatikana kwa mawakala wetu wote walio karibu nawe popote ulipo.
0
0
1
Muonekanao wa Tiles zetu Mpya za G30194 ,G30195 ,G30196 G30197 za sakafuni zenye ukubwa wa 300X300MM zenye nakshi nzuri na zakupendeza zitakazoupatia muonekano mzuri sakafu yako zinapatikana kwa mawakala wetu wote walio karibu nawe popote ulipo.
0
0
0
Kesho tarehe 09/09/2025 LINDI tutakuwa na semina ya mafundi tiles kutoka kampuni ya GOODWILL semina itafanyika katika UKUMBI WA CHAMA CHA WALIMU kuanzia saa nne asubuhi. #Karibuni sana Mafundi.
0
0
1
Dear valued Customer. We warmly invite you to visit the Mzungu Tiles Showroom, located conveniently at Goba Kwa Awadhi. At Mzungu Tiles, we offer a wide range of high-quality tiles that combine beauty, durability, and style perfect for transforming any space into something truly.
0
0
1
Tunapenda kuwataarifu, Bado tunaendelea kuwaunganisha mafundi pamoja kupitia semina zetu zinazofanyika sehemu mbali mbali na safari hii tutakuwa KANDA YA KUSINI Hii ni ratiba nzima katika mikoa husika KARIBUNI SANA KATIKA SEMINA ZETU. GOODWILL GOODTILES.
0
0
0
Goodwill Tunakuletea marumaru bora na imara hizi ni marumaru mpya aina ya WK300x600MM zenye code ya WK36023 na hii ni maalumu kwa ajili ya kupendezesha ukuta wa nyumba yako,hotel,supermarket, ni marumaru ambayo inaweza kuhimili kukaa muda wote bila kufutika maua yake.
0
0
0
Mpendwa mteja Victoria inakuletea vigae vipya vya ukuta wa nje vijulikanavyo kama VW30X60cm hizi ni tiles mpya zenye nakshi nzuri ya kupendeza na kuvutia ni vigae ambavyo vinapendezesha ukuta wa nyumba na kuupa muonekano wa kipekee kama unavyoona hapo unaweza chagua.
0
0
0
Goodwill Tunakuletea skirting imara na nzuri zenye maua mbali mbali ambayo yaipa nyumba yako muonekano wa kipekee sana. skirting hizi zinadumu mda mrefu na rahis kusafisha. #Goodwill Good Tiles.
0
0
1
Mpendwa mteja Victoria inakuletea vigae vipya vya ukuta wa nje vijulikanavyo kama VW30X60cm hizi ni tiles mpya zenye nakshi nzuri ya kupendeza na kuvutia ni vigae ambavyo vinapendezesha ukuta wa nyumba na kuupa muonekano wa kipekee kama unavyoona hapo unaweza chagua.
0
0
1
Tanga Stone – VP66016 | 600x600mm Bring nature’s elegance into your design with Tanga Stone, a sophisticated tile that captures the raw beauty of natural stone with the performance of modern porcelain.
0
0
1
🌟Looking to elevate your space with a touch of elegance? We’ve got just what you need Our stunning PY50x50CM tiles are now available ,the perfect choice to transform your decoration project into something truly stylish, modern, and unique. #Goodwill Good Tiles.
0
0
1
Hello everyone ,Great Rift Valley Grey with size VR120x60 cm (Code: VR612002) is a stylish and strong tile that brings a modern, natural look to any space and perfect for both homes and commercial areas. If you want a smart and elegant finish, this tile is a great choice.
0
0
0