Gilbert Mulanda Profile
Gilbert Mulanda

@GilbertMul88080

Followers
425
Following
7K
Media
1
Statuses
7K

Joined March 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
6 days
#Neno...AMKA ULE, SAFARI NI NDEFU! 1 Wafalme 19:4-8 Part 2....Ndio, umepitia mengi sana na unahisi kuchoka lakini sikia, kuna kazi kubwa mbele yako, kuna watu unahitaji kufikia wapate nuru, kula neno la Bwana, pata nguvu mpya ya safari. Tukutane Galilaya! #NurunaEvahMwalili
19
15
23
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
6 days
10
8
12
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
6 days
13
12
17
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
6 days
Good morning 🌞 welcome to another week that the Lord has made, you shall testify!! Wikendi ilikuaje? Hayaa, sasa tupokee baraka za wiki ndani ya morning glory, Hapa ndipo! @EvahMwalili @Radio47_Kenya #NurunaEvahMwalili #NurunaEvahMwalili
36
22
29
@Radio47_Kenya
Radio 47
7 days
Karibisho la Ibada. Leo wacha tutembeze salamu za baraka kwa makanisa yetu. Taja kanisa lako, mchungaji na uwape salamu za baraka. Karibu! Follow us on: Facebook: https://t.co/2D9RNrhRix X account: @radio47_Kenya: https://t.co/MytBMuSVOE #Nuru47Jumapili #HapaNdipo
39
28
45
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
7 days
Karibisho la Ibada. Leo wacha tutembeze salamu za baraka kwa makanisa yetu. Taja kanisa lako, mchungaji na uwape salamu za baraka. Karibu! @EvahMwalili @Radio47_Kenya #nuru47jumapili #nuru47jumapili
14
9
13
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
7 days
6
8
12
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
7 days
Jesus you love me too much excess love ooh. @mercychinwo_ @EvahMwalili @Radio47_Kenya #nuru47jumapili #nuru47jumapili
17
12
22
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
7 days
Glory to Jesus 🙌. Kumekucha, umeamka? Karibu kwa ibada, hapa ni nuru uncompromised, undiluted, pokea sehemu yako. Hapa ndipo! @EvahMwalili @Radio47_Kenya #nuru47jumapili #nuru47jumapili
29
19
35
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
7 days
13
10
14
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
7 days
Yesu alilipa deni zangu kwa gharama ya dhambi, msamaha wa dhambi niliupata Kalvari. @MamajusiChoir @EvahMwalili @Radio47_Kenya #nuru47jumapili #nuru47jumapili
21
15
23
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
7 days
Psalm 121:2 my help comes from the Lord the Maker of Heaven and earth. #nuru47jumapili #nuru47jumapili #nuru47jumapili #nuru47jumapili #nuru47jumapili #nuru47jumapili
33
24
31
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
23 days
10
9
14
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
23 days
#Neno....SIMULIA KIZAZI KIJACHO MATENDO YA MUNGU. Zaburi 78:1-8...Wacha matendo makuu ya Mungu yajulikane kwa watoto wetu ili waweke tumaini lao ndani ya Bwana na wasije wakasahau matendo yake, kuza kizazi chako kwa njia hii. Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
10
5
7
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
23 days
Good morning Mwana Ligi, kwema, umeamkaje? Tunafunga mwezi wa Oktoba kwa baraka, tunakubaliana na halleluya challenge day 24 kwamba it is settled in Jesus Name!! Pokea nuru sasa! @EvahMwalili @Radio47_Kenya #NurunaEvahMwalili #NurunaEvahMwalili
31
16
26
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
23 days
Shusha nyavu, jaribu tena, kwa neno la Bwana! @ShushoChristina @EvahMwalili @Radio47_Kenya #NuruNaEvahMwalili #NuruNaEvahMwalili
10
11
13
@EvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili
23 days
Naiona kesho yenye utukufu iliyopangwa na Baba. @MarthaMwaipaja @EvahMwalili @Radio47_Kenya #NurunaEvahMwalili #NurunaEvahMwalili
17
15
25