FrankTech190911 Profile Banner
PILATO™🇰🇪 Profile
PILATO™🇰🇪

@FrankTech190911

Followers
5K
Following
4K
Media
245
Statuses
4K

Just know that I tried 💙

Thika, Kenya📍
Joined July 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
5 months
Uyu sini wewe ukiwa umevaa lab court ukienda mosque
Tweet media one
33
203
1K
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
5 hours
RT @FrankTech190911: Me trying to explain what I do for living 😂😂
Tweet media one
0
5
0
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
5 hours
Me trying to explain what I do for living 😂😂
Tweet media one
1
5
8
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
22 hours
Kumbe nikisema my enemies are suffering ilikuwa ni mafans wa asenal 😂😂😂.
1
4
10
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
1 day
Aaah bet imeunguwa jaba imeanza kuonja managu sasa mungu wangu 😭 fxck man city
Tweet media one
0
1
5
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
1 day
Vaite ameniselectia tumaini walai aluta Leo chances za kutumia akili ziko chini Sana 🤣.
0
10
17
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
1 day
Another sad truth is Dame yako anaongeza body count ingine Leo na akuna kitu utafanya😊.
0
7
10
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
1 day
Mchele na chaii it's a very underated food in Kenya.
2
10
17
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
1 day
Afathali uniite kitu ingine but usijaribu kuniita broke. aty broke.
0
8
13
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
1 day
Yani mpaka kanisa sijaenda uyu mkamba atanimalizia na ngono mungu wangu 🤣😂.
0
10
15
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
2 days
Sasa saaii ni saa ngapi jaba inaitisha kawada bana.
0
5
18
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
2 days
Najuwa nikiwambia nimeamshwa na morning kisses hamtamini 😊.
0
6
12
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
3 days
Shieet Kama si izo kondo na mbuzi kunikanyanga mgongo zikitoka singeamka sieet.
0
10
16
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
3 days
Mafresher uku wanakula mara tatu kwa siku niwambie ukweli ama ningoje 🤣🤣🤣.
3
10
15
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
4 days
Fresher:''na ujue nakupea juu ulinionyesha nyumba
Tweet media one
1
5
13
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
4 days
''Ni ule boy alikubebesha vitu ukienda hostel and other stories '''.
0
8
14
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
4 days
Yani mpaka mafresher wanitaki jamani kwani nilikosea wapi mungu wangu 😭.
2
23
38
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
5 days
I hate tukibishana then uanze kuongea kizungu juu ivo ndio umenishinda iyo argument 🤧.
1
5
13
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
5 days
Mimi Sina female friends niliwaomba sublenya wote tukakosana wakaniblock.
1
5
11
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
5 days
Mimi naomba tusiwe na fujo kila mtu atapata fresher wake tusiwe na fujo pole pole to 😂.
0
4
6
@FrankTech190911
PILATO™🇰🇪
6 days
Kwa relationship mtu akikunyamazia pia wewe mnyamazie tit for tat let the boat sink.
0
6
17