
FlavianaMatataFdn
@FMFound
Followers
2K
Following
453
Media
675
Statuses
2K
Empowering Girls through Education
Joined October 2014
By empowering girls with quality education, we give them the knowledge, skills, and confidence to achieve economic independence, advocate for themselves and others, and drive lasting positive change in society. #FMFProjects.#FMFScholarships.#QualityEducation.#LetHerLearn.
0
0
0
Because when teachers are empowered, children are protected. #EndGenderBasedViolence #FMFProjects #QualityEducation #EducationForAll.
0
1
1
Through our MHH & SRH awareness program, in partnership with @girlsalliance and @TIE_Tanzania, we are equipping teachers from six schools in Njombe Region with accurate information, practical strategies, and the confidence to address these critical issues head-on.
1
1
1
Bidii zake katika masomo zilimwezesha kuhitimu kidato cha nne mwaka 2023 na kuweza kuendelea na elimu ya ngazi ya juu ya sekondari akiwa moja ya mabinti wanaonufaika na mradi wetu wa ufadhili wa masomo. #FMFProjects.#FMFScholarships.#QualityEducation.#LetHerLearn.#GirlsEducation.
0
2
2
Heshima kwa wazazi, umuhimu wa elimu, afya ya uzazi na ujasiri wa kusema “hapana” haya yote yanapatikana kupitia Bango Kitita lilorasimishwa na taasisi ya elimu . Darasa linalojenga kizazi Imara cha kesho #FMFProjects #LifeSkills
0
5
9
Kupitia Bango Kitita, wanafunzi wanapata jumbe zinazowawezesha kufanya maamuzi sahihi, kujilinda, kujiamini, na kuthamini elimu kama nguzo ya maisha bora. 💪📚 #FMFProjects #LifeSkills
0
5
5
Bango Kitita 📖 ni chombo kinachowafundisha wanafunzi si tu afya ya uzazi na usawa wa kijinsia, bali pia kujiamini, kuheshimu wazazi, na kutambua thamani ya elimu. 🌟 #LifeSkills #FMFProjects
0
9
11
“Kama mwanafunzi, usinyamaze unapofanyiwa ukatili. Sema ‘HAPANA’, omba msaada bila kuogopa kwani sauti yako ni kinga yako na ngao ya kesho yenye heshima.” Rehema Longo kutoka Taasisi ya Elimu #FMFProjects
0
4
9
Kujifunza kujiamini ni silaha ya kwanza ya kujilinda. Unaposema ukweli wako kwa ujasiri, hakuna anayeweza kukunyamazisha. #FMFProjects #StadiZaMaisha
0
5
10
📍 Tuko Njombe siku ya 4️⃣ ya mafunzo ya muundo wa klabu na bango kitita. Mkufunzi kutoka Taasisi ya Elimu anawapa wanafunzi Mbinu muhimu za uongozaji wa clubs pamoja na stadi za.maisha ili wakirudi shuleni wawashirikishe wenzao. #FMFProjects #SchoolClubs #StadiZaMaisha
1
10
9