Emmanuel Matano
@EmmanuelMatano4
Followers
105
Following
2K
Media
12
Statuses
2K
Joined June 2019
#GumzoKomavu Maoni yako ni yapi kuhusu hotuba ya Rais William Ruto kuhusu mustakabali wa kitaifa? Je matarajio ya wakenya yaliafikiwa? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
0
1
2
Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! U hali gani? Karibu tukamilishe wiki kwa baraka kwenye mpango bab'kubwa #AsheBreakfast, kwenye usukani ni @EmmanuelMatano4 @radio_ashe ,Unategea ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
2
2
3
Karibu tuchanganue yaliyogonga vichwa vya habari nchini kwenue Upekuzi #Magazetini na @EmmanuelMatano4 @radio_ashe ,Unategea ukiwa wapi?
0
1
3
#GumzoKomavu Kaparo(Laikipia) Mimi sioni kama taifa liko mahali pazuri kwasababu sisi wananchi ambao tuko mashinani hatujafikiwa na ahadi za serikali #StateoftheNation
@EmmanuelMatano4 @radio_ashe @Jonathan_Tinga @OfficialRiziki1 #AsheBreakfast
0
1
2
#GumzoKomavu Hilary(Iten) Rais naona amejitetea kweli kweli lakini kwa ground wananchi wanaumia. Gharama ya maisha iko juu na wakenya hawana pesa mfukoni #StationoftheNation
@EmmanuelMatano4 @radio_ashe @OfficialRiziki1 @Jonathan_Tinga #AsheBreakfast
0
1
2
#GumzoKomavu Pariyo(Baringo) Mgala muue na haki yake umpe, Rais Ruto amejaribu sana kushughulikia changamoto za kiusalama katika bonde la ufa #StateoftheNation
@radio_ashe @EmmanuelMatano4 @Jonathan_Tinga @OfficialRiziki1 #AsheBreakfast
0
1
2
#Stateofthenation Baba Gaile(Marsabit) Nawakosoa sana wabunge kwa kumshangilia Rais na kuimba 2 term. Kazi yao ni oversight na kuhakikisha kuwa serikali inawajibika vilivyo. Bado kuna shida za afya licha ya SHA @EmmanuelMatano4 @radio_ashe @Jonathan_Tinga @OfficialRiziki1
0
1
3
0
1
1
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! Kumekucha! Ni siku njema Bwana ameifanya ili tufurahu ndani yake. Mie @EmmanuelMatano4 nishawasili mjengoni @radio_ashe kukuandalia show bab'kubwa #AsheBreakfast. Unategea ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
4
4
7
Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Jumamosi yako inakuendeaje? Uko right on time kwa ajili ya mpango mzima #YouthAblaze na @EmmanuelMatano4 tumsifu Bwana, Unacheck in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
0
1
2
Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Umeamkaje? Karibu tukamilishe wiki hii kwa mpigo kwenye mpango bab'kubwa #AsheBreakfast ukiwa nami @EmmanuelMatano4 @radio_ashe , Unasikiliza ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
5
3
5
0
1
2
@radio_ashe @EmmanuelMatano4 Nikiwa charley bongo designer matunda moisbridge likuyani niko ndani ya show #AsheBreakfast
0
1
2
#Np Niinue by @Dr_sarahkmusic kwenye round 1 ya #AsheBreakfast na @EmmanuelMatano4 @radio_ashe #Tumainilauzima
0
2
3
#GumzoKomavu Kaparo(Laikipia) #NorthernKenya imesalia nyuma kimaendeleo kwasababu ya uongozi mbaya. Viongozi kwa muda mrefu hawakujali maslahi ya wananchi @EmmanuelMatano4 @radio_ashe @Jonathan_Tinga @OfficialRiziki1
0
1
1
#GumzoKomavu Samalit(Churo) #NorthernKenya Imesalia nyuma kimaendeleo kwasababu ya historical marginalization tangu wakati wa ukoloni. Ni vizuri wafanyiwe affirmative action @EmmanuelMatano4 @radio_ashe @Jonathan_Tinga @OfficialRiziki1 #AsheBreakfast
0
1
2
#GumzoKomavu Gabriel(Samburu) Maendeleo hayawezi kuja kama kuna risasi. Ni sharti sisi tuache wizi wa mifugo na utovu wa usalama ili tupate maendeleo @EmmanuelMatano4 @radio_ashe @OfficialRiziki1 @Jonathan_Tinga #AsheBreakfast
0
1
2
Karibu kwenye Upekuzi #Magazetini katika awamu ya 1 ya #AsheBreakfast na @EmmanuelMatano4 @radio_ashe, Unategea ukiwa wapi?
0
2
3
#Mjadala Hilary(Iten) Ukweli ni kuwa hizi fedha zinazodaiwa kupotea kwa ghost students kuna watu katika wizara ya elimu ambao wanaufahamu huu mchezo @EmmanuelMatano4 @radio_ashe #AsheBreakfast
0
1
2
#Mjadala Wilson(Turkana) Serikali iache kutufumba macho kama wakenya. Kama fedha za capitation zilipotea, tunataka kuona hatua za kisheria zikichukuliwa dhidi ya wahusika @EmmanuelMatano4 @radio_ashe #AsheBreakfast
0
1
2