@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
Imekuwa miaka miwili (2) sasa tangu uondoke mwana-CHATO. Pumzika baba. Our country will never recover from your loss. You were the champion of it’s social-economic progress. May you keep resting in power. Always in our hearts. We miss you baba. #TunakukumbukaBaba
Tweet media one
Tweet media two
17
56
355

Replies

@noor_abdul
#ActiveCitizen
1 year
@EJ_Mwita Hadi leo sijawahi kujua kwa nini alifariki kwenye siku yangu ya kumbukizi la kuzaliwa kwangu?😂
2
0
2
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
@noor_abdul 🤣🤣🤣🤣 Mungu fundi, Happy birthday brother. Una-celebrate your life and his kwa lazima yaani.
2
1
1
@Nguchiro8
Kirua Jr
1 year
@EJ_Mwita Tutamkumbuka daima
0
0
2
@StevenG53150785
Steven Gabriel
1 year
0
2
5
@LupakisyoM
Lupakisyo M
1 year
@EJ_Mwita Ooh no no, we have recovered FULLY.
0
0
0
@CircuitNorthern
Northern Circuit Adventure
1 year
@EJ_Mwita Ni mwezi Maalumu wa kukumbuka na kuomba yasijirudie tena mambo kama, Kutekanatena ovyo, Kubambikiwa kesi zisizo na msingi, wasiojulikana wasijulikane tena, watu wasichukuliwe hela zao bank, mikutano ya siasa isipigwe marufuku na mwisho tupate tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.
1
0
3
@WilliamBonipha1
Mwafrika🙏🙏🙏
1 year
@EJ_Mwita My lovely prezdaaa💞💞
0
0
1
@MagigeMtatiro
Magige Mtatiro
1 year
@EJ_Mwita We never forget you, utukufu wa mungu ukurehemu baba
0
0
1
@mark_Digala
Mark_Digala
1 year
@EJ_Mwita @MPM_Tanzania Utanziwa daima shujaa,tunaomba Mungu mbegu ulizoacha zichipue na kukomaa mapema turudi kwenye right desires course
0
0
1
@IddiNasma
Nasma Iddi
1 year
0
0
1
@beltecious
belteciouz
1 year
@EJ_Mwita Rest easier Dr. Magufuli
0
0
1
@dkilangi89
Kalebu. 🇹🇿
1 year
@EJ_Mwita Mwamba wa Africa pumzika baba.
Tweet media one
1
0
3
@EmmababaE
chapchap
1 year
@EJ_Mwita We kijana umechanganyikiwa
0
0
0
@pallangyo54
FIAT
1 year
0
0
0