@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
2 years
Ubora wa Magufuli ulijidhihirisha kuanzia alipoingia kwenye siasa. Waziri pekee ambaye tangu ateuliwe na Mkapa na baadae Kikwete, amekuwa akifanya kazi kwa bidii na wivu mkubwa kwa Taifa na watu wake. Aliendelea kwa kusimikwa kwenye Wizara ngumu na zenye matatizo. R.I.P JPM.
31
32
172

Replies

@mwendajumbe
Wambura
2 years
@EJ_Mwita jambazi na muuaji mwenzako lazima umsifu ila kule aliko anatwangwa nyundo za moto
3
0
5
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
2 years
@mwendajumbe Alimuua nani?
1
0
0
@Isaack30304606
Isaack
2 years
@EJ_Mwita Alitia hasara bara bara zetu kujengwa chini ya kiwango kwa kudai wakandarasi 10 pasent ya kila bara bara inayojengwa..hasara nyingine ya maguful akiwa waziri ni ujenzi wa kituo cha mwendo kasi pale jangwani...hana ubora wwte...
Tweet media one
1
0
2
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
2 years
@Isaack30304606 Jifunze kuandika kwanza.
0
0
1
@PNyemela
patrick nyemela
2 years
@EJ_Mwita @Icon__08 1.5 trillion zilipotea wakati wake, hakuzingatia sheria ya manunuzi ya ujenzi wa chato Airport na kuongeza kinyemela cost ya mradi wa chato airport kutoka 17 billion mpaka 54 billion. Mifano miwili inakutosha au niongeze.
2
0
2
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
2 years
@PNyemela @Icon__08 Kabla ya kuandika huu utumbo umefanya uchambuzi au umeandika tu kwa kusikia nyumbu wenzio wameandika?
2
0
3
@noor_abdul
#ActiveCitizen
2 years
@EJ_Mwita Pombe is no more 😁
1
0
2
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
2 years
@noor_abdul Yes, but his works are.
0
0
1
@munisiahmad1
Ahmad Munisi
2 years
@EJ_Mwita Alihonga nyumba za serikali umesahau? Vivuko vibovu, barabara za chini ya viwango, kuvunja mikataba kipumbavu ikaigharimu nchi fedha nyingi
1
0
0
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
2 years
@munisiahmad1 Barabara za chini ya kiwango? JPM kabisa??
0
0
0
@bestantony1
best antony
2 years
0
0
4
@CKisyeri2013
chacha kisyeriπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
2 years
@EJ_Mwita Kuna watu wanalipwa kumchafua lakini hawataweza.
3
0
4
@dawad8
secret mission
2 years
@EJ_Mwita R. I. P JEMBE
0
0
3
@Wakijijini1
Isaya 60:11
2 years
@EJ_Mwita πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
0
0
0
@KyetraSimmy
Simmy Kyetra
2 years
@EJ_Mwita Well spoken πŸ™ πŸ™πŸ’ͺ
0
0
5
@KilombaAudax
Liberius Audax Kilomba
2 years
@EJ_Mwita RIP JPM
0
0
1
@evoddy1
Evodius Rwenyagira
2 years
@EJ_Mwita Huyu ndiye waziri pekee tangu 1995 nilipo ijua siasa ya nchi hii aliyefanya kazi zake kwa weredi baada ya CCM kuonekana inaelekeea shimoni wakamuangukia aiokoe shimoni na akafanikiwa .R.I.P JPM
0
1
5
@evoddy1
Evodius Rwenyagira
2 years
@EJ_Mwita Huyu ndiye waziri pekee tangu 1995 nilipo ijua siasa ya nchi hii aliyefanya kazi zake kwa weredi baada ya CCM kuonekana inaelekeea shimoni wakamuangukia aiokoe shimoni na akafanikiwa .R.I.P JPM
1
2
4
@LuchagulaPeter
peter luchagula
2 years
@EJ_Mwita πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
0
0
2
@jitulakale22
jitu la kale
2 years
@EJ_Mwita Tufanyeni mambo ya msingi, hayupo huyo na maisha yanasonga
0
0
1