@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
FISADI MKUBWA KUWAHI KUTOKEA NCHINI 👉Kajenga hospitali nyingi kuliko zilizokuwepo tangu Uhuru 👉Kapeleka Maji sehemu kubwa ya nchi tangu uhuru 👉Kapeleka Umeme sehemu kubwa ya nchi tangu Uhuru 👉Kasomesha watoto wengi zaidi kuliko rais yeyote In just 5yrs. Rest in Peace JPM.
25
21
83

Replies

@r1o2b3b3y4
R1o2b3e4r5t6✍
3 years
@robyn_fabs Katuibiwa sana kuliko fisadi yeyote🤣🤣
1
0
0
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
@Snr_robby Kweli kabisa.
0
0
0
@follonjae
#KatibaMpyaNiSasa
3 years
@robyn_fabs Alipenda kusifiwa kuliko nchi kusifiwa. Hakupenda tunu za Taifa hili. Kikwete alijenga shule kila kata na hakuna Rais aliyefanya hayo hata JPM hakufanya lkn hakujisifu Bali aliisifu nchi. Tupende nchi, tusipende ubinafsi na propaganda!
2
0
0
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
@follonjae Ongezeko la wanafunzi lilikuaje?
0
0
0
@Captain62329119
Captain1
3 years
@robyn_fabs We kichwa pamzi tuache acha uchonganishi kuku wewe maana alivyohana akili kuku mpaka kinyesi anakula anaona tambi stop spoil your rubbish tulieni kidogo dawa ziwaingie mabush men NAWASALIMU KWA JINA LA MUUNGANO ... KAZI IENDELEE MAMA hawa tutawanyoosha
1
0
0
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
@Captain62329119 Sawa. Hongera kwa mawazo mazuri.
0
1
0
@gonztong
Gonz Tong🇹🇿
3 years
@robyn_fabs 😁😁 humu wanapinga huku nafsi zina wasuta kinoma, Jpm anakumbukwa ingali yupo kaburini sijui watadai tunataka teuzi za huko aliko kwa malaika ijapo nasi kuwaongoza malaika
1
0
3
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
@clementepafra Ndio watajua kama tunapigania teuzi au la.
0
0
0
@HaroldKp3
MKOLOSAI MWEUSI…🇹🇿
3 years
@robyn_fabs Ni fisadi kwa wao lakini ni shujaa kwenye mioyo ya sisi wazalendo
0
0
7
@davisbanunu
davisununu
3 years
0
0
0
@mussaomary21
Mussa Omary
3 years
@robyn_fabs @KipepeComrade Kwakweli kuhusu maji safi mpk kipindupindu tumeshaanza kukisahau
0
0
2
@anthony_avitus
Avitus Anthony
3 years
@robyn_fabs @BestaMlagila Hivo ndo vilikuwa vichaka vya kupigia mawizi yake
0
0
0
@KaswahiliB
Kaswahili Bumyengeja
3 years
@robyn_fabs Kupeleka maji hapo uongo mweupe
0
0
0
@Kiwavi3
Kiwavi
3 years
@robyn_fabs Unamaanisha nyerere alikuwa w chadema
0
0
0
@d_luketoo
daniel luketo( Big poppa)
3 years
@robyn_fabs Sasa unsomesha alaf utoi ajiraaaa ndio nn sas usiwe mjinga ww
0
0
0
@mushingantahemu
Bakundukize
3 years
@robyn_fabs Si mkajifukie nae, acheni kutupigia kelele humu tweeter.
1
0
0
@leonidace_sama
Leonidace K. Laurean
3 years
@robyn_fabs Aiseeee nimekuelewa sana hapa. Niliwahi kusema sehema Hayati JPM ana mazuri yake mengi sana na mabaya pia!! Ila watu wameacha mazuri na sasa wanatazama mabaya tu!! Wanaikosea principle ya Human Being life
0
0
2
@jeongdojeon03
Sambong
3 years
@robyn_fabs Hayo yote ni promo tu hakuna ambacho ni uhalisia
1
0
0
@emwakambinda
Emmanuel Mwakambinda
3 years
@robyn_fabs 👉Kajenga Masoko ya kisasa mikoani 👉Kajenga stendi za Kisasa mikoani 👉Kaanzisha Masoko ya madini 👉Kaweka sheria za kulinda Maliasili za taifa 👉Kahamisha Makao makuu ya serikali kwenda Dodoma 👉Kaimarisha makusanyo ya kodi na malipo kigitali 😭😭😭😭
0
1
3