@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
Serikali ilipanga kukusanya Trillioni 33.105 lakini ilikusanya Trillioni 31.519 Sawa na 95%. (Repoti ya CAG) Sikumbuki mara ya mwisho. Serikali kukusanya 95% ya matarajio ya kibajeti ilikuwa lini. Pumzika kwa Amani JPM— Hakika TUTAKUKUMBUKA.
Tweet media one
23
27
105

Replies

@EagleTips_
White Eagle Tips
3 years
@robyn_fabs Hao hawakukusanya kodo ila walikuwa wabakwapua pesa za watu
1
0
1
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
@BabaAngel2019 Wakwepaji kodi walilazimishwa kulipa,Kama hiyo ndio tafsiri ya kuporwa basi sawa.
1
0
0
@Hamadbakari2
Ahmadbakar🕋🇸🇩🇹🇿
3 years
@robyn_fabs Muongo mkubwa wewe,serekali ilikusanya 17 trilion badala ya 19trilion.
1
0
1
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
@Hamadbakari2 Pambana na ripoti ya CAG.
Tweet media one
2
1
9
@iambwanamzee
LEOPARD🇹🇿
3 years
@robyn_fabs @KinjeketileNgw2 Walikusanya wakachanganya na uporaji na takwimu za kupika
1
0
0
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
1
0
0
@milinga2015
fademocompanyltd
3 years
@robyn_fabs Wakusanya Kodi wakitumia akili zao kwa 100% nchi hii inaweza kukusanya kodi zaidi ya Tr. 4 kwa mwezi sawa na Tr. 48 kwa mwaka. Akili zetu zikiwa sharpened tunapaaa!! Hiyo ya JPM bado ndogo Sana!
1
0
1
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
@milinga2015 Nakubaliana na wewe lakini ni hatua kubwa ukilinganisha na 10.2T ya Kikwete
0
0
1
@HOMESTUDIO8
WHITE HOUSE
3 years
@robyn_fabs Kunamtu makini sana professor mwenye weledi wake amesema wajingatu ndio hununua ndege keshi nikawaza sana nikajikuta hivi kweli unanunua ndege keshi unaenda kukopa mkopo kwajili ya eleimu ya watoto wako halafu ndege haina faida nikasema kweli wajingatu ndio wataendelea kusifia
1
0
2
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
@HOMESTUDIO8 Kwenye hilo naweza sema ni mtazamo tu, Ukikopa mkopo kwaajiri ya Elimu huwezi pewa mkopo wa kibiashara na riba huwa chini lakini ukikopa ndege ujue utakuwa umechukua mkopo kibiashara na utegemee Riba kuwa zile za Kibiashara na kubwa Midahalo ya kitaifa ni muhimu ili tuwekane sawa
1
0
0
@Balimponya
Elias G. Balimponya💪
3 years
@robyn_fabs Haijawaji kutokea!! Mzee apumzike kwa kweli.
0
1
5
@Iam_lecturer_JM
Ng’wein@a
3 years
@robyn_fabs Pumzika kwa amani baba, watanzania watakukumbka sana kwa mengi uliotufanyia
0
0
1
@BoraimaniJ
MAHENGE jr
3 years
@robyn_fabs R.I.P Uncle
0
0
1
@deckrine_kweka
deckrine Cap 16
3 years
@robyn_fabs Ripoti hiyo hiyo ya CAG imesema kuna Trilions kadhaa zimetafunwa. CAG ni jicho la Wananchi
0
0
0
@bestantony1
best antony
3 years
@robyn_fabs Kweli kabisa
0
0
3
@domtasile
Dominique
3 years
@robyn_fabs It’s all smear campaign against JP Magufuli. Hi serikali tunayo ni tumbo. Kila mtu anataka kula...
2
0
3
@Mallibbotty6
𝔧𝔧-𝔟𝔞𝔪𝔞 𝔦𝔫𝔱.🌐
3 years
Tweet media one
0
0
1
@MafumoSuleiman
Goalgetter genious
3 years
@robyn_fabs Sio tutamkumbuka wenzio tumeanza kumkumbuka mapema maana hii safari mpya tuliyo anza nayo hatuielewi kabisa.
0
0
2
@JosephMjomba6
Joseph Mjomba
3 years
@robyn_fabs kwa kizazi hiki cha uzinzi hawawezi kuona alicho kifanya magu hata kama ungeonyesha hawaoni rakini wanatafta kwenye makosa tu penye amefanya vizuri hawaon..
0
1
1
@BiyeRobert
Legend
3 years
@robyn_fabs Nipe ukurasa wenye hicho kipande!
0
0
0