@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
Halafu yupo mtu anakuambia eti aliiba kura 😳 Mwanza ni ya Magufuli hata baada ya kuondoka kwake. DAIMA TUTAKUENZI SHUJAA WETU. Umevipigana vita vizuru,Umeumaliza mwendo. LALA SALAMA BABA YETU MPENDWA.πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Tweet media one
Tweet media two
34
18
86

Replies

@noor_abdul
#ActiveCitizen
3 years
@robyn_fabs Mkuu unakumbuka umati qa Stalin alipofatiki mwaka 1953?
5
0
8
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
@noor_abdul Jibu ni rahisi sana,Kwa Stalin uliona watu wanaweka matawi chini na kutandika nguo barabarani ili msafara wake upite? Yale ni mapenzi ya watanzania,Millions are mourning and not celebrating unlike kwa Stalin Last time nimesikia ama kuhadidhiwa juu ya matendo ya kutandika nguo 1/2
1
0
1
@MycmeranyS
Mycmerany William Swai
3 years
@robyn_fabs @tzDiscovery mitaa mingine uko VIJIJINI bado watoto hawajui magari ivyo wakiona magar hukimbilia kuyatadhama kmana kwamba bado nikitu cha ajabu machoni mwao.....ikiwa hujui tatazo ni bora ukae kimya kuilinda hekima yako
1
0
1
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
@MycmeranyS @tzDiscovery Jijini Mwanza ni kijijini?
1
0
0
@bestantony1
best antony
3 years
@robyn_fabs Hawana akili wanaosema hivyo.
0
0
3
@okama645
Alex Okama
3 years
@robyn_fabs Wamekuja kuhakiki kaa kweli kwa machungu watu walionayo mioyoni
0
0
1
@elisha_naftari
the special one
3 years
@robyn_fabs Wapiga kura mil 23. Hao hata m hawafiki. Tumia akili siyo matako.
0
0
4
@prosperityoffi2
prosperity official
3 years
@robyn_fabs Yuko wap sasa mula
0
0
1
@Kinara26Kinara
Makaranga Machumu
3 years
@robyn_fabs Acha kuleta siasa msibani.
0
0
1
@NchimbiRas
Ras,nchimbi
3 years
@robyn_fabs Sema kupora uchaguzi
0
0
2
@mlonas84
Rwandobi Mafuru
3 years
@robyn_fabs @Mkatolikii Huo wingi wa watu haubatirishi wizi wa kura zilizoibiwa sababu waliokusanyika hapo sio wote walimpigia kura maana kwenye hio mikusanyiko kuna wale ambao hawana sifa za kupiga kura
0
0
4
@abeid_apple
Apple
3 years
@robyn_fabs Haya yupo wapi, Je ataludi lin
0
0
1
@JoyMgonja
Heroes
3 years
@robyn_fabs Abeberu wao wanashangaa
0
0
1
@Kitururu1
Kitururu
3 years
@robyn_fabs Kulala salama kunategemea na matendo yake hapa duniani. Kwa Mungu hakuna propaganda bro. Meza au tema, iko hivyo.
0
0
4
@Sweke9
Sweke
3 years
@robyn_fabs Ushabiki hauna nafasi wakati huu Ngoja tumalize kwarezimma
0
0
0
@bpm2408
B.P.M
3 years
@robyn_fabs @CharlessOcram Haijalishi asee kwa sasa tumtakie pumziko jema Pumzika kwa amani
0
0
1
@blank17352832
gimakwi
3 years
@robyn_fabs na kumbuka wengne wameenda kushuhudia kweli ni yule mwenye kibri ndo alieenda
0
0
3
@Ngiwanzi
Itgirl
3 years
@robyn_fabs wamefurika kwa mengi...ila kubwa hasa kushuhudia amesepa kweli?
0
0
0
@Mm05147343
Mchafu E
3 years
@robyn_fabs Mitano Tena kwake.
0
0
0
@BenitoCrespo
Benito Crespo
3 years
@robyn_fabs .wabongo tuna mihemko
0
0
0