@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
Mstaafu aliona ni makubaliano mazuri na alitaka JPM asaini. Nyie watu TUMEPOTEZA JEMBE 😭😭😭😭 Hasomi popote yaani kila kitu kipo kichwani. AISEE!!
29
104
348

Replies

@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
3 years
Mwendelezo
5
41
111
@KinjeketileNgw2
Kinjeketile Ngwale²⁵⁵🇹🇿
3 years
@robyn_fabs Huyu Mtu Alikua atuvushe kirahisi kabisa😖😖😖😪
2
0
13
@ZachxPius
Pius Zachariah
3 years
@robyn_fabs @NkonyaMaduhu Mikataba ya hivi JPM anayoizungumzia wenzake walikua wanataka kusaini kwa maslahi ya nani?
1
0
7
@Chiggscom
Chiggs
3 years
@robyn_fabs Hivi vichwa huwa ni vichache tu hapa duniani na vinapatikana kwa nadra sana
2
0
10
@domtasile
Dominique
3 years
@robyn_fabs Si tunajuwa nani alikubali hizo masharti...?
0
0
4
@bongofinyu
Mdanganyika
3 years
@robyn_fabs @zittokabwe bado alikuwa the fierce critic kwenye uamuzi wa JPM kukataa bandari ya Bagamoyo.
1
0
7
@JoyMgonja
Heroes
3 years
@robyn_fabs @bestantony1 Nalia tu dah kumpoteza Huyu baba 😭💔💔
0
0
7
@CMdibule
mdiwizzy
3 years
@robyn_fabs Ila jamani tusiwe wanafiki tumepoteza pakubwa sana ,
0
0
2
@Elseomambea
Elseo mambea
3 years
@robyn_fabs Mungu alilaze mahali pema alikuwa kiongozi
0
0
4
@iambwanamzee
LEOPARD🇹🇿
3 years
@robyn_fabs Tulihitaji Raisi anayefuata katiba na sio kutest creaming capacity mana mnashangilia vitu visivyokua na maana ujinga
6
0
11
@liketust
Liketust
3 years
@robyn_fabs Daaah!!! kweli kabisa jembe...ni mda wa viongozi kutofanya ujinga wa mikataba ya ujinga
0
0
4
@MtotoWaEliza
Mtoto Wa Elizabeth
3 years
@robyn_fabs 😭😭💔
0
0
2
@NchimbiRas
Ras,nchimbi
3 years
@robyn_fabs Mtu anapita "Katiba bora ndiyo msingi"utaobaki palepale!💪
Tweet media one
0
0
8
@Msafwaa
SOMJI JUMA MAREKANI
3 years
@robyn_fabs mbona ule wa mkopo wa kujenga SGR kutoka China aliukataa alipoingia madarakani, mwaka jana hali mbaya akaurudia tena na kisaini na balozi wa China akiwa Chato.??
1
0
2
@Hamadbakari2
Ahmadbakar🕋🇸🇩🇹🇿
3 years
@robyn_fabs Sasa kaondoka tutajua mbichi na mbivu,🙏
1
0
7
@Obaresurveryor
Surveyor Obare Property Company LTD
3 years
@robyn_fabs Pamoja na kujua yote uliyoyasema tayari mapema tu
0
0
0
@Hanthlley
Hanslley🧢
3 years
@robyn_fabs So sad 😢😢😢
0
0
3
@Lubuma5
fukufuku
3 years
@robyn_fabs @nt_adria Inauma sanaaaaaa..... Still baadhi ya "watu" wanabeza vitu kama hivi!!!! Historia itamuenzi vzr
1
0
6
@PrinceSamm1
Prince-Chella Samwel Mndeme
3 years
@robyn_fabs Usitusemee. Sema umepoteza.
0
0
0