@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
Paul Makonda ni kati ya viongozi vijana machachali sana na aliyeacha alama katika uongozi wake. Paul Makonda amejipatia utajiri mkubwa wa mali na fedha katika kipindi kifupi cha uongozi wake. Swali: Je! Serikali haioni haja ya kumhoji ni wapi alikopata fedha na mali zake?
Tweet media one
88
28
408

Replies

@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
War against corruption has to begin with State leaders,This is a better way to gain peoples legitimacy and support on war against emblezzlements We know how much a regional commisioner is paid and it would take atleast 50yrs for Makonda to make his fortune out of RC salary
4
9
97
@bestantony1
best antony
4 years
@robyn_fabs Alikuwa mpambanaji sana
1
0
0
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@bestantony1 Sawa lakini pia utajiri wake ni wa mashaka.
1
0
6
@obbidee4tz
Obadia Kajungu
4 years
@robyn_fabs orodhesha mali zake hapa kwanza tuzione vinginevyo unashawishi serikali iwe na majungu kama wewe! Baada ya Bunge la Ulaya kukataa kuiwekea vikwazo Tanzania nadhani ingekuwa fundisho kuwa hata baba zenu wazungu nao mnawachosha kwa majungu
7
0
19
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@obbidee4tz ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kwahiyo kila anaemgusa kiongozi wa serikali katumwa? Ai lavu zisi kantirii. Sina tatizo na jemedari wetu JPM maana anafanya kazi nzuri,Watanzania tunajua na Dunia inajua. Nachosema lazima tudhibiti harufu ya matumizi mabaya ya madaraka pindi tu tunapoyanusa.
1
1
13
@Gramonce
God believer
4 years
@robyn_fabs Angepata umaskin au kufilisika wange muhoji?
3
0
4
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@Gramonce Kaka hatunashida na utajiri wake kama haujahusisha kutumia ofisi yake vibaya,Lazima tuwe na mfumo wa viongozi kuheshimu ofisi na dhamana wanazopewa.
1
2
16
@kamone2010
Julius Nyang'ombe
4 years
@robyn_fabs Leo umeanza kufunguka macho!!!! Sina hakika km umeandika hii Twitter mwenyewe na km umekuwa hacked tukusaidie report.....
1
0
2
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@kamone2010 Itโ€™s worth a check.
1
0
0
@NtwaleNtemi
Ntwale
4 years
@robyn_fabs Yaani leo umekuja na point kubwa mno, hongera saana!. Sasa tumjadili au tusubiri tume?
1
0
6
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@NtwaleNtemi Huyu bwana anautajiri mkubwa sana,His first days in office alimnyangโ€™anya muhindi mmoja BMW x6 kwa anavyopenda ku-ball akawa anakuja nayo elements na sehemu nyingine,Mnakumbuka safari zake za Marekani n.k Properties zake nazozijua ni zaidi ya 10, 9m x 12 x 5 = 540m Katoa wap 20B
4
1
13
@JayLee2025
afriFAST HQ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
4 years
@robyn_fabs Yaaan kwa mawazo haya ndo maana Bongo hamna GNIMBI hata mmoja....
3
0
1
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@JayLee2025 Ndio maana tupo hai
0
0
3
@blacctz
butker is a hero
4 years
@robyn_fabs Ukishakuwa msukuma awamu hii. Haugusiki
2
0
2
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@rweba1 Sio kweli,mifano ya wasukuma walioguswa ni wengi.
0
0
1
@mutey15
mutey15
4 years
@robyn_fabs @robyn_fabs jamaa alijitoa akatoa tigo kwa yule mpenda matigo,akajitoa zaidi kumletea witch-doctor ili afanikishe matamanio yake,na akafanikisha, sasa dogo ni kwa nini asipewe myanya ya kuvuna asipopanda?
1
0
0
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@mutey15 Hakufanya hayo.
0
0
0
@MgalulaJoyce
Joyce Justin Mgalula
4 years
@robyn_fabs Umechunguza wote au mnyonge wako Makonda tu?
1
0
0
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@MgalulaJoyce Waanze na huyo ambaye mali zake nazifahamu,yaani wakitaka ushirikiano wangu niko tayari.Kwa kadri tutakavyopata taarifa ya mali za wengine tutashauri.
0
0
2
@JayBoy10487471
Jay Boy
4 years
@robyn_fabs Vijana wa chadema bana fanyeni kazi unaanza kujadiri maisha ya mtu huo ni wivu na ushamba haya hebu tuambie razalo nyarandu hizo nyumba alizipataje kule ulaya makonda ni mpambanaji
1
0
0
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@JayBoy10487471 Makonda anabiashara gani?Hebu tueleze wewe unayemfahamu Alafu usinichafue,Mimi sio na siwezi kuwa kijana wa CHADEMA,Mimi siwezi kuwa chama cha matapeli wa kisiasa wasiokuwa na ajenda ya msingi Mimi namuunga mkono jemedari wetu JPM kwa kazi nzuri anayoifanya. MAKONDA ACHUNGUZWE
1
1
2