Dkt. Doto Biteko Profile
Dkt. Doto Biteko

@DBiteko

Followers
4K
Following
29
Media
5
Statuses
14

KNK

Joined March 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@DBiteko
Dkt. Doto Biteko
4 years
Pole sana kwa familia ya Gabriel Kandonga, pole sana familia ya ITV na Radio one kwa kuondokewa na kijana mchapa kazi na aliyeipenda sana kazi yake. Gabriel hakuwa na makuu na wakati wote alikua rafiki wa wengi. RIP Gabriel.😭
29
8
97
@DBiteko
Dkt. Doto Biteko
5 years
Hongereni sana wachimbaji Mahenge, hili jiwe kubwa la Spinel limepatikana tena. JPM alisema ni wakati wenu. Asanteni sana kwa kuchapa kazi. JPM2020 #KaziIendelee#
57
43
459
@DBiteko
Dkt. Doto Biteko
5 years
Tumenunua mitambo mitatu ya kisasa kabisa ya uchorongaji na mmojawapo ni Explorac 235 wenye uwezo wa kuchimba hadi mita 500 kwa siku. Mtambo huu ni mpya na kiteknolojia yake ni ya hali ya juu. Alisema lazima STAMICO ifufuke, imewezekana. #JPM2020 KaziIendelee#
34
48
235
@DBiteko
Dkt. Doto Biteko
6 years
Hongereni sana wachimbaji wa Mererani, historia mnaendelea kuandika. Jiwe jingine zuri la kg1.05 limepatikana. Alisema anataka kuzalisha mabilionea, wanaendelea kuzalishwa kwenye sekta ya madini. #JPM 2020 KaziIendelee#
34
68
365
@DBiteko
Dkt. Doto Biteko
6 years
Mimi na watangaza nia wengine 11 tumeomba kuteuliwa na chama chetu (CCM) kugombea ubunge Bukombe. Nimeiona hamasa ya vijana wengi kwenye jimbo letu. Nawapongeza wote kwa kuonyesha nia na siasa za uungwana. Wajumbe watatoa maoni yao kwa kura kati yetu sote. Nawatakia heri wote.
38
12
147
@DBiteko
Dkt. Doto Biteko
6 years
Asanteni kwa ushirikiano wenu wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kwa kuitikia tumevuka tena lengo la makusanyo kwenye sekta ya madini. Tulipangiwa kukusanya bilioni 470.35 tumekusanya bilioni 479.45 sawa na 101.93%. Asante Mhe. Rais kwa maono yako kwenye sekta ya madini.
20
13
114
@DBiteko
Dkt. Doto Biteko
6 years
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu enyi wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kwa kuitikia tumevuka tena lengo la makusanyo kwenye sekta yetu Tulipangiwa kukusanya bilioni 470.35 tumekusanya bilioni 479.45 sawa na 101.93%. Asante Mhe. Rais kwa maono yako kwenye sekta ya madini
10
8
71
@DBiteko
Dkt. Doto Biteko
7 years
Nazisikia sauti zenu, enyi watu wema wa Bukombe.
17
10
129
@DBiteko
Dkt. Doto Biteko
9 years
"Mimi na wewe tumelitikisa daraja'' Sisimizi alimwambia Bwana Tembo, ambaye alivuka daraja sisimizi akiwa juu yake..
20
17
96