ChibuDuke Profile Banner
Willy Sekwa Duke Profile
Willy Sekwa Duke

@ChibuDuke

Followers
126
Following
1K
Media
1K
Statuses
2K

WCB4LIFE,YangaFan,KamatiYaRoMbaya

Tanzania
Joined November 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
8 months
Ndani ya viporo vinne Simba SC Tanzania imekusanya Alama zote 1️⃣2️⃣, Imefunga magoli 1️⃣0️⃣ na kuruhusu magoli 3 imeondoka na Clean sheet 1 tu🤔.
0
0
1
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
9 months
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : Confederation Cup SF 1st leg SIMBA SC 🇹🇿 1️⃣➖️0️⃣ STELLENBOSCH 🇿🇦 ⚽️ 45+1" Ahoua
0
0
1
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
9 months
🚨⛽Vinara wa mabao ligi kuu ya NBC 1. Prince Dube 1️⃣2️⃣ 2. Jean Ahoua 1️⃣2️⃣ 3. Clement Mzize 1️⃣1️⃣ 4. Jonathan Sowah 1️⃣1️⃣ 5. Elvis Rupia 1️⃣0️⃣
0
0
0
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
9 months
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : NBC Premier League SINGIDA BS 3️⃣➖️0️⃣ TABORA UNITED ⚽️ 25" Adebayor ⚽️ 52" Sowah (p) ⚽️ 86" Sowah
0
0
1
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : NBC Premier League YOUNG SC 1️⃣➖️0️⃣ COASTAL UNION FC ⚽️ 34" Pacome
0
0
3
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
Kiungo Khalid Aucho amefanyiwa Sub baada ya kuomba kutolewa mwenyewe na kuonekana amepatwa na maumivu ya misuli ya paja la mguu wake wa kulia. Endelea kufutuatilia zaidi kwa taarifa zaidi.
0
0
2
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
Pongezi kwa Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji kwa kutajwa na jarida la Forbes kuwa tajiri wa 12 barani Afrika baada ya utajiri kupanda kutoka USD 1.8 Bilioni hadi USD 2.2 Bilioni.
0
0
3
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : CRDB FEDERETION CUP YOUNG SC 2️⃣➖️0️⃣ SONGEA UNITED ⚽️ 21" Abuya ⚽️ 54" Ikangalombo
0
0
2
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : CRDB FEDERETION CUP R16 SIMBA SC 2️⃣➖️1️⃣ BIGMAN FC ⚽️ 15" Mutale ⚽️ 45" Henock ⚽️ 30" Ateba (p)
0
0
0
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : World Cup QF CAF MOROCCO 🇲🇦 2️⃣➖️0️⃣ TFF🇹🇿 ⚽️ 51" Aguerd ⚽️ 58" Diaz (p)
0
0
1
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄 : World Cup QF CAF MOROCCO 🇲🇦 0️⃣➖️0️⃣ TANZANIA 🇹🇿
0
0
1
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
🚨Yakoub Suleman Golikipa wa JKT Tanzania ndiye anayeanza kwenye mechi ya Stars na Morocco je atahimili vishindo ???
0
0
2
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
FULL TIME : Tanzania Women’s Premier League 🇹🇿 SIMBA QUEENS 0️⃣➖1️⃣ YANGA PRINCESS ⚽ 49' Jeannine
0
0
1
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
Mwamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Pyramids FC (Misri) vs FC FAR (Morocco) utakaochezwa kwenye uwanja wa 30 June, Cairo, Misri Aprili 1, 2025.
0
0
2
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
🗣"Mechi yetu ya tarehe 8 ndio tulipanga tushinde mabao sita ila bahati mbaya watu wakala nyoya kwa kusingizia wazee wafupi na mbuzi na sasa kipigo kimemuangukia Dodoma JIJI FC" ©️Ahmed Ally Afisa habari wa Simba SC
0
0
1
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
10 months
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 |#𝐂𝐑𝐃𝐁𝐅𝐄𝐃𝐄𝐑𝐀𝐓𝐈𝐎𝐍𝐂𝐔𝐏 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐒𝐂 3️⃣➖1️⃣ 𝐂𝐎𝐀𝐒𝐓𝐀𝐋 𝐔𝐍𝐈𝐎𝐍 ⚽Max 01' ⚽Miraji 18' ⚽Max 15' ⚽Mzize 21'
0
0
1
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
11 months
Matokeo ya Mechi za leo Kombe la Shirikisho la CRDB KILUVYA 0️⃣➖3️⃣ PAMBA JIJI SIMBA SC 3️⃣➖0️⃣ TMA STARS KAGERA SUGAR 3️⃣➖0️⃣NAMUNGO
0
0
0
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
11 months
Matokeo ya Mechi za leo Kombe la Shirikisho la CRDB KILUVYA 0️⃣➖3️⃣ PAMBA JIJI SIMBA SC 3️⃣➖0️⃣ TMA STARS KAGERA SUGAR 3️⃣➖0️⃣NAMUNGO
0
0
2
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
11 months
FT : Fountain Gate Fc 1️⃣ ➖ 1️⃣ Stand Utd Penati 3-4 ✅ Stand Utd wametinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank.
0
0
1
@ChibuDuke
Willy Sekwa Duke
11 months
🚨⛽Nahodha wa timu ya Taifa ya Uganda 🇺🇬 Khalid Aucho (31) na Mshambuliaji Steven Mukwala (25) wameitwa kwenye kikosi cha timu yao ya Taifa kwaajili ya mechi za kufuzu World Cup 2026. Uganda watacheza dhidi ya Mozambique 🇲🇿 Machi 20 na dhidi ya Guinea 🇬🇳 Machi 25.
0
0
1