BahariFM Profile Banner
BahariFM Profile
BahariFM

@BahariFM

Followers
8K
Following
4K
Media
32K
Statuses
39K

Stesheni ya mpwani, na wapwani...Usingoje kusifiwa, tegea nuru ya roho kwa habari, burudani na miziki ya kiasili. Msa 90.4 Mld 106.0

Joined July 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@BahariFM
BahariFM
10 days
Wakenya hususan vijana waliokopa kutoka Hazina ya Hustler Fund wametakiwa kulipa madeni yao kwa wakati, serikali ikisema huenda ikawaathiri kwa kufungiwa nje ya fursa nyingine za kifedha za serikali kama Uwezo Fund na mikopo ya biashara ya vijana.
Tweet media one
0
0
0
@BahariFM
BahariFM
10 days
Baadhi ya walimu wanachama wa KUPPET Mombasa wanataka mabadiliko ya uongozi ndani ya chama hicho, wakilalamikia ukosefu wa uwazi na ushirikishwaji wa viongozi wa sasa, wakisema wameshindwa kutetea na kushughulikia maslahi yao.
Tweet media one
0
0
0
@grok
Grok
2 days
Blazing-fast image creation – using just your voice. Try Grok Imagine.
55
101
665
@BahariFM
BahariFM
10 days
Yo Madere na boda rider? Time ya kuingia kwa game imefika! Karibu Weego, hapa you’re a partner, not just a driver. Commission poa. More money mfukoni. PSV, Good Conduct, Insurance, ID, na Logbook tu. Download Weego App kwa Google Play or AppStore au SMS weego to 20425
Tweet media one
0
0
1
@BahariFM
BahariFM
10 days
Shirika la Teens Watch limeelezea wasiwasi kufuatia idadi inayoongzekeza ya vijana wanaotumia mihadarati kaunti ya Kwale, msimamizi wa kituo hicho Cosmas Maina akifichua kuwa baadhi ya waathiriwa ni watoto wadogo.
Tweet media one
0
0
1
@BahariFM
BahariFM
10 days
Wavuvi na wahudumu wa baharini katika eneo la Tiwi, gatuzi dogo la Matuga, wamekabidhiwa maboti mawili, vifaa vya uvuvi na majokofu ya kuhifadhia samaki na Gavana wa Kwale, Fatuma Achani, ili kuimarisha sekta ya uvuvi na uchumi samawati.
Tweet media one
0
0
1
@BahariFM
BahariFM
10 days
Mpunguze ushirikina jamani😅
0
0
1
@BahariFM
BahariFM
10 days
Mke hapewi talaka kwa kosa la kwanza😆
0
0
1
@BahariFM
BahariFM
10 days
Fedha hizo zinalenga kusaidia wakulima wadogowadogo kutoka mashinani kuweza kutoa mazao mengi na kujiendeleza kiuchumi.
Tweet media one
0
0
1
@BahariFM
BahariFM
10 days
Watoto sikuhizi hata ukiwapakia pilipili bado wanaendelea kunyonya tu😆.#Kudzacha
0
0
1
@BahariFM
BahariFM
10 days
Sheria na Masharti Kutumika😆.#Kudzacha
0
0
2
@BahariFM
BahariFM
10 days
Mbona umtumie mlemavu kujinufaisha badala ya kumsaidia?.#Kudzacha
0
0
1
@BahariFM
BahariFM
11 days
Yo Madere na boda rider?.Time ya kuingia kwa game imefika!.Karibu Weego, hapa you’re a partner, not just a driver. Commission poa. More money mfukoni. PSV, Good Conduct, Insurance, ID, na Logbook tu. Download Weego App kwa Google Play or AppStore au SMS weego to 20425
Tweet media one
0
0
1
@BahariFM
BahariFM
11 days
Udugu kufaana so kufanana tu!.#Tukobomba
0
0
0
@BahariFM
BahariFM
11 days
Wanawake tupunguza mihaso jameni😂.#Tukobomba
0
0
0
@BahariFM
BahariFM
11 days
Viongozi wa kidini eneo la Malindi wametoa wito wa kuanzishwa kwa kitengo maalum cha polisi wa kukabiliana na madhehebu potofu, wakitaka oparesheni za kijasusi kufanywa kutambua wahubiri tata mapema kabla ya maafa kutokea.
Tweet media one
0
0
0
@BahariFM
BahariFM
11 days
Waziri wa Elimu Julius Ogamba amepinga madai kuwa serikali imepunguza ufadhili wa elimu kwa wanafunzi wa shule za upili kutoka shilingi elfu 22, 244 hadi shilingi elfu 16,000 kwa mwanafunzi, akisisitiza kila mwanafunzi atasoma bila vikwazo.
Tweet media one
0
0
0
@BahariFM
BahariFM
11 days
Utafiti wa EACC: Ufisadi ndio tatizo nambari mbili nchini Kenya huku ukosefu wa ajira ukiongoza; umaskini, gharama ya juu ya maisha, huduma za afya zisizoridhisha, miundombinu mibaya na uongozi mbaya, pia vikiwa tatizo nchini.
Tweet media one
0
0
0
@BahariFM
BahariFM
11 days
Polisi wanaongoza kwa ukosefu wa maadili na ufisadi kwa silimia 27.6, wakifuatiwa na maafisa wa mamlaka ya ukusanyaji ushuru KRA kwa asilimia 17.3 na kisha machifu kwa asilimia 16.2, wabaini utafiti wa tume ya EACC.
Tweet media one
0
0
1
@BahariFM
BahariFM
11 days
Gavana Mung'aro pia amesema wizara ya afya inalenga kuajiri maafisa wa kliniki wapya, ili kukabiliana na changamoto ya madaktari kutokuwepo kazini mara kwa mara.
Tweet media one
0
0
0
@BahariFM
BahariFM
11 days
Maafisa wa DCI Mombasa wamemkamata Shedrack Omondi Okindo almaarufu Hon. Mosquito katike eneo la Miritini, kufuatia video ya Agosti 1 2025 kwenye TikTok, iliyomhusisha na matamshi ya uchochezi na vitisho vya kuvuruga amani nchini.
Tweet media one
0
0
0