
Sarvesh
@Alvingtonhk
Followers
5K
Following
11K
Media
20
Statuses
6K
Don't regret π
Arusha, Tanzania
Joined November 2012
Mimi na ndgu yangu @CandleXtz hatuna nongwa na mtu bwana @munyamambogo πππππ.
5
4
16
I choose happiness, I choose gratitude, and I choose to celebrate myself fully,,happy birthday to me.
8
4
15
Ila Africa .Acha kabisa aiseeee π₯²π₯²π₯²π₯².
1
0
4
Kaka .Hapo muulize @TMtazamaji labda atakuwa anamajibuππππ.
1
0
1
Style ya jani la mgombaππππ .Hii kiboko @CandleXtz @MmangaReb @TMtazamaji mama @StoneSaphia njoo jionee hukuπππ.
5
0
5
Mr Lugumi anatengeneza comeback mpya kurudi kwenye game kama zamani .Maisha yanahitaji Mbinu na uwezo zaidi kuliko elimu ya shule πππππ@hseebabili @Kiokote03 @CandleXtz.
Lugumi awaonyesha watoto yatima ghorofa yao anayowajengea, ni kati ya tano anazojenga . Bilionea @lugumisaidi Jumatato huu amekutana na watoto yatima 810 kwaajili ya dua na kula nao chalula pamoja na kuwaonyesha ghorofa anayowajengea.
0
0
2
Hii spinning mnayofanya @hseebabili na chama chako .Hamna shida na hyo michicha mmeivisha gwandaππππ @Kiokote03 haya ji maajabu.
0
0
0
Lakini ongea na @Kiokote03 vizuri maana naona yuko sehemu anawanunulia watu nyama choma asije akawa ameuza plotπππ.
0
0
0
Yule ndg yangu kweli hapo naunga mkono.Mtamzika πππππππ.
0
0
1
Haya mambo ndio @hseebabili huwafanyia Watanzania wanyonge.Zingatia neno unyongeπππ.
2
1
7
Inatia huzuni sana kmmk hili Taifa .Halafu watu wanaangalia tu wakati jamaa anataka kutekwa haya wee jamaa uje hapa @hseebabili mkuu @iamZature ona ufala huu.
CHEKI MTU ALIVYONUSURIKA KUTEKWA . !. Tukio hili la Jaribio la utekaji limetokea katika Hotel ya Rovvenpec Resort iliyopo Kiluvya,Madukani Dar es Salaam. Jamaa aliiga mbinu zangu (Golden folk style) za kutumia nguvu na kugomea kuondoka nao hivyo kutokana na nguvu za jamaa na
5
1
4
Hii imenifanya stress kidogo zishuke.Wee mwanamke utakuja kuniuaππππ @StoneSaphia.
0
1
2