Abby presenter🎙️ Profile
Abby presenter🎙️

@AbbyPresenter

Followers
224
Following
9K
Media
22
Statuses
8K

veterinary doctor 🩺🐕‍🦺🐓/Entertainment🔊🎤/street need reality 😎

Joined October 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
1 day
“ukitaka kuona chizi anandugu wengi we Muue “ . Good Morning💪.
6
5
13
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
13 days
“peter msechu muda huu baada ya kusikia msiba 👇 😂😂
Tweet media one
4
2
9
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
13 days
“ ROMA🎙️….alisema aongezewe muda bungeni ameaga mapema,wakamlisha asali kwa kisu akalamba akamwaga wino.Tangulia na dereva barua utaikuta chamwino 🎶🔥.
2
6
19
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
20 days
😁😁sindiyooo.
0
0
0
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
20 days
“ si alinifunza mapenzi nilikuwa sijui Kamwambie akanidekeza kishenzi, .Kwa nyimbo nzuri nimwimbie. 🎶🎶💔. Throwback Thursday 🦁🔥.
0
4
6
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
20 days
Wale wa “Ending July With a grateful heart ❤️ “ ndo muda wenu huu…😂🙌.
4
6
12
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
26 days
“ siwezi sehema kitandani,labda umasikini wangu 😁🙌🎶🎶. Diamond platinum 🦁.
1
2
4
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
1 month
Ile jinsia bana (mademu) yani akiomba hela ukimwambia huna anamaindi kwanini huna, akati hata yeye hana…🚮🚮😂😂.
2
6
10
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
1 month
Kuwekeza ni kukubali kupoteza kwa sasa, ili ufaidike baadae. Good morning wapambanaji “.
3
7
16
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
2 months
“Me wa mkoani ila sahv niko Dar inachukua muda gan? Mpaka kuitwa mwanaume wa Dar ,maana kama chips nakula, Nguvu za kiume pia sina,inachukua muda gan? …😂😂.
8
9
24
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
2 months
“Kwa jinsi nnavyompenda Mkewangu siwezi mtesa kubeba mimba miezi 9 , wakati dada wa kazi yupo ,….😎😎😂🙌.
22
34
318
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
2 months
“Pesa hainunui Furaha, Hii kauli ilitolewa na matajiri ili kuwapoteza maskini .Kumekucha familia Tukapambane . 💪👊.
10
20
82
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
2 months
“Muda huu ngoja nimwambie huyu kuwa nalala, ili niongee na demu mwingine hadi saa 6 ….😂😂.
7
15
72
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
2 months
“Ukijua kunasiku ya kupata , ujue na yakukosa ipo tumepewa siku nyingine ya kupambana….💪.Good morning.
16
27
74
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
2 months
“Mungu Baba tubaliki wapambanaji wote Tusiumwe Tujisikie vibaya tuu,maana haya Maisha yetu tukiumwa tutakula nini atuli mpaka tutoke ….💔🔥💪.Good morning wapambanaji.
11
15
26
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
2 months
“Maskini wanajidanganya kudhani Matajiri HAWANA Furaha……😂😂.
2
1
9
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
2 months
“Home so safi kunywa maziwa mpaka tunywe SUMU “. Good morning wapambanaji 💪.
7
9
31
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
2 months
Kumekucha mkali.
0
0
4
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
2 months
“Shida ndo zinatufunza tuwe mafundi wa kila kitu .Good Morning 👊💪.
6
3
13
@AbbyPresenter
Abby presenter🎙️
3 months
Kama tuko bongo maniga 😂😂🙌🙌
Tweet media one
4
2
7