Wizara ya Kilimo
@WizaraKilimo
Followers
17K
Following
514
Media
4K
Statuses
8K
Ukurasa rasmi wa Wizara ya Kilimo, Tanzania
Dodoma, Tanzania
Joined August 2014
Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Exhaud Kigahe (Mb), na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa.
0
0
1
kati ya Tanzania na Finland hususan katika mnyororo wa thamani wa zao la viazi ili kuweza kuhakikisha usalama wa chakula ili kuendana na kasi ya uongezekaji wa Idadi ya watu.
1
0
1
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) hivi karibuni ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Kikao cha Majadiliano na Naibu Waziri wa Biashara za Kimataifa wa Finland. Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilijadili namna ya kuboresha ushirikiano
1
3
7
Mkutano huo umehudhuriwa pia na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayesimamia Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula, Dkt. Hussein Mohamed Omar; wakiwemo pia Wajumbe wa Kamati ya kudumu Bunge Viwanda, Biashara Kilimo Mifugo na Uvuvi.
0
0
1
Naye Bi. Zainabu Masaki, mkulima kutoka Mkoa wa Morogoro, ameomba watafiti kuboresha mbegu za asili ili wakulima waendelee kuzitumia badala ya kuwepo kwa wingi kwa mbegu za kisasa inayopelekea kuzitumia kwa ulazima kutokana na ugumu wa kupata mbegu za asili.
1
0
1
Kwa upande wake, Mwakilishi wa Kampuni ya AGRA, Bw. Ipyana Mwakasaka amesema Kampuni hiyo itaendelea kushirikiana na Serikali na wadau wa Mbegu kwenye masuala ya utafiti, uwekezajii, uzalishaji na usambazaji wa mbegu bora kwa wakulima nchini.
1
0
0
Aidha, kwa uzalishaji wa msimu wa mwaka 2023/2024 uzalishaji wa ndani wa mbegu ni tani 56,000 na uagizwaji wa nje ya nchi haizidi tani 15,000. Hii inaonesha juhudi za Sekta Binafsi na Wadau wa Kilimo kushirikiana na Serikali kuiwezesha nchi kuzalisha mbegu kwa wingi.
1
0
0
kuchagua kama watatumia mbegu za asili au za kisasa katika kilimo. Ameongeza kasi ya uzalishaji wa mbegu imeongezeka kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2020/2021 uzalishaji wa ndani wa mbegu ulikuwa tani 34,000 na iliyoagizwa kutoka nje ilikuwa ni tani 15,000.
1
0
0
uliofanyika tarehe 15 Mei 2025, jijini Dodoma. Aidha, ameitaka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) na Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) kuingiza sokoni mbegu za asili zilizofanyiwa utafiti mara baada ya kusajiliwa ili wakulima waweze
1
0
0
Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) kusajili mbegu za asili za kilimo na kuingizwa sokoni ili wakulima wafanye uchaguzi wa aina ya mbegu wanazotaka kupanda. Waziri Bashe alizungumza hayo wakati wa Mkutano wa Taifa wa Wadau wa Tasnia ya Mbegu
1
0
0
SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA MBEGU ZA ASILI NCHINI Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesisitiza wakulima kuendelea kutumia mbegu za asili kwenye kilimo ili kuwa na machaguo tofauti ya matumizi ya mbegu za kilimo na kutoa siku tano kuanzia tarehe 15 Mei 2025 kwa
1
4
10
BASHE: SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI KWA WAUZAJI WA MBEGU FEKI NCHINI Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Serikali iko mbioni kutunga Sheria itakayowabana wauzaji wa mbegu, viuatilifu na mbolea feki ili waweze kuhukumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi kuanzia msimu
1
3
7
WADAU WA MBEGU KUKUTANA JIJINI DODOMA, TAREHE 15 MEI 2025.
0
5
6
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amekabidhi Magari 38 yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.2 kwa ajili ya kusimamia na kutekekeza majukumu ya Sekta ya Kilimo; pamoja na magari 7 ya mitambo ya Uchimbaji Visima tarehe 12 Mei 2025, jijini Dodoma.
0
6
9
Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) I mtarajiwa kushiriki katika Maonesho ya Dunia – Osaka Expo 2025 yatakayofanyika Japan kuanzia tarehe 6 hadi 15 Juni 2025. Karibuni kutembelea banda!
0
3
12