@polo_kimanii
MetroBoomin
3 months
Wacheni niwaambie watu wangu ata kama mimi ni maskini,pesa mingi ni stress,utajiri ni mzigo mzito sana,Hakuna kulala ukikimbiza pesa yenye haitai tosha,And then when you decide to settle stress ya nani utaachia mali inaanza,Thats infact the rich mans biggest fear
57
178
1K

Replies

@NjoguNjoroge7
Tech Ninja Fx๐Ÿง 
3 months
@polo_kimanii Summarize
1
0
4
@polo_kimanii
MetroBoomin
3 months
@NjoguNjoroge7 Young man,ukitaka summary unapigia nyanya yako
5
3
22
@gichuhi_josep
Fundi wa Gypsum
3 months
@polo_kimanii I'd rather have io starehe YA richness kuliko Hii YA umaskini ๐Ÿ˜€ There is no dignity in poverty ๐Ÿ‘
1
0
21
@polo_kimanii
MetroBoomin
3 months
@gichuhi_josep Problems though relative hold the same weight,Tajiri ako na stress ya 1billion na wewe uki na stress ya 10k shida zenu zinatoshana
3
0
19
@kwachiffu
Gwa giff ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
3 months
@polo_kimanii Hata useme Nini heri hiyo kuliko kuishi kufinyia kunguni kwa shati
Tweet media one
2
0
28
@polo_kimanii
MetroBoomin
3 months
@kwachiffu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃi see
1
0
4
@UTD_Leo
Leo
3 months
@polo_kimanii Now those are the problems I want to have. They're good problems though
1
0
2
@polo_kimanii
MetroBoomin
3 months
@polo_kimanii
MetroBoomin
3 months
@gichuhi_josep Problems though relative hold the same weight,Tajiri ako na stress ya 1billion na wewe uki na stress ya 10k shida zenu zinatoshana
3
0
19
0
0
2
@pass_the_za
me
3 months
@polo_kimanii unaembrace poverty๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
0
4
@polo_kimanii
MetroBoomin
3 months
@pass_the_za Enlightment
1
0
3
@BellahPoetry
Nkirote Murungi.
3 months
@polo_kimanii Wacha Tu nilale enough saizi kabla nipate pesa
0
0
2
@julie_qin1
Julie
3 months
@polo_kimanii Makes sense
0
0
1
@SuddySoud
๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜๐—ฎ๐—ป ๐˜€๐˜‚๐—ฑ๐—ฑ๐˜†
3 months
@polo_kimanii Why you trying to justify poverty bro. Umesahau there is no glory in poverty bana. Mimi nilisema hata kama magari na nyumba ni vitu vya kidunia wacha zipite kwa mikono yangu pia
0
1
4
@MrKifaki
๐‘ด๐‘น ๐‘ฒ!๐‘ต๐’€๐‘จ๐‘ป๐‘ฏ๐‘จ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
3 months
@polo_kimanii Lakini sahii stress yako ni utatoka rent wapi supper iko ama nikuinama
3
0
0
@The_Big_Chifa_
Sโˆ†INโœž ๏ฃฟ
3 months
@polo_kimanii Sasa kati ya stress ya food na ya pesa utachagua gani ๐Ÿ˜‚
0
0
0
@kimtaaaii
Bett
3 months
@polo_kimanii @polo_kimani There are people who proudly die after knowing their succession
0
0
0
@quality254
Quality Accessories Kenya
3 months
@polo_kimanii Poverty is worse!
@quality254
Quality Accessories Kenya
3 months
Get your man this masterpiece๐Ÿ˜Š
6
5
30
0
0
1
@ticketing_USA
KOT_ambassorder
3 months
@polo_kimanii Lakini I need money to travel the world poverty will never see me and I will not settle for average
0
0
2
@Makerea_12
99 Problems ๐Ÿ”ฅ
3 months
@polo_kimanii Usiwahi tuadvice tena kimani
0
0
0
@avalanchedrago
Ghost๐Ÿฆ‡๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
3 months
@polo_kimanii Umejuaje na hujai kua rich kimani
0
0
1