Tunawasherehekea boda riders wetu wanaojituma kila siku kwa bidii na moyo wa kusaidia jamii. Kazi yenu ina maana kubwa, na tunawatambua! Happy Mashujaa Day to all our everyday heroes! #OYEKenya #TheBodaCompany #MashujaaDay
0
0
2
Replies
Weka Emergency Sign au matawi mbele na nyuma ya accident ili kuwatahadharisha madereva wengine. Hii husaidia kuzuia ajali zaidi na kulinda wote mlio eneo hilo. #OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani
0
5
11