@maipambomteta
MAIPAMBO JR
6 months
Ingependeza sana serekali yetu itafute hii kitu,maeneo yote yenye speedlimit zifungwe hizi hii itasaidia kuondoa utata wa zile tochi za wale jamaa za ku edit,hapa ukizidisha speed picha inapiga auto na inatuma ripoti maramoja.
10
9
100

Replies

@shinenisaid1
SAID
6 months
@maipambomteta Hapa ni Africa usije sema niko Uk
1
1
7
@maipambomteta
MAIPAMBO JR
6 months
@shinenisaid1 Hii safi kabisa hakuna mambo ya kubambikiziana picha๐Ÿ˜€
0
0
3
@EddoLalika
Eddo Lalika
6 months
@maipambomteta Wapi hapa
1
0
4
@maipambomteta
MAIPAMBO JR
6 months
@EddoLalika Mgodi mmoja wa wachina congo nje kidogo ya lubumbashi
0
0
3
@BakizaHamiss
Hamiss Bakiza
6 months
@maipambomteta Hii kitu niliwahi ikuta mbuga ya wanyama moja ipo maeneo ya pakwachi huko Uganda zimewekwa za kutosha hii ni nzuri sana.
1
0
1
@maipambomteta
MAIPAMBO JR
6 months
@BakizaHamiss Nzuri mnoo
0
0
1
@John_Walty
Walty
6 months
@maipambomteta Itasaidia pia kukuza makusanyo ya fine kwa haraka na bila upotevu. Kuna kipindi walifunga pale ubena kitambo lakini
1
0
1
@maipambomteta
MAIPAMBO JR
6 months
@John_Walty Ikafa au?
2
0
1
@Jumasai622
Juma
6 months
@maipambomteta Serekali ndo Nini we mzee?
1
0
1
@maipambomteta
MAIPAMBO JR
6 months
@Jumasai622 Umesha elewa wacha kukaza fuvu๐Ÿ˜‚
0
0
0
@LuheheP
vitalis p luhehe
6 months
@maipambomteta Kigoma mbona ipo.
1
0
1
@maipambomteta
MAIPAMBO JR
6 months
@LuheheP Maeneo gani?
1
0
0
@Merit_pc_Doctor
The Merit pc doctor๐Ÿ’Š๐•
6 months
@maipambomteta Camera zenyewe zimekuwa za kitapeli hakuna kitu inakera kama personal impactkwenye haya mambo
0
0
1
@mohamedshuma
mohd
6 months
@maipambomteta Rwanda hii๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ noma sana hilo robot
0
0
0
@mvuhakwetu
Geza Kiluku
6 months
@maipambomteta Hii imefungwa barabara ya Kasulu-Kigoma
0
0
0
@mwalimuwamathe
GNO
6 months
@maipambomteta Hakuna haja bana Watengeneze njia nzuri na pana vyuma vitembee. Muda wa kusubiri siku hakuna. Masaa 16 upo tu kwenye gari
0
0
0