@l_ng240
Keki moto
2 months
Wenye mko na account za world coin na hamko verified na mko na reserved coins plans ni zipi?
2
19
44

Replies

@sheldonkenya254
Bomboclater
2 months
@l_ng240 Nkama iyo orb izitawai rudi kenya
1
0
1
@l_ng240
Keki moto
2 months
@sheldonkenya254 So coin zitaexpare hivo tu!
0
0
0
@NJUKI95461962
Gichukiii 👽
2 months
@l_ng240 Orbs hazirudi mzee
2
0
2
@l_ng240
Keki moto
2 months
@NJUKI95461962 50k yangu utaenda tu hivyo
0
0
0