@iamthatfemale
Hika Lyimo
2 years
Tz tuna bad customer care ila dom aaah πŸ™ŒπŸΌ ni level ingine. Duka la mangi tu anakuvimbia, utadhani unaomba.
70
16
536

Replies

@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
@iamthatfemale Hapo hujafukuzwa Bambalaga na hela yako πŸ˜‚
9
0
54
@iamthatfemale
Hika Lyimo
2 years
@Eric_Bernard94 Hapo ndio kila siku wananirudishaga 🀣🀣 wanasema mm mtoto 😭
8
0
18
@KelvinMradi
Kelvin Mradi
2 years
@iamthatfemale you never been in bukoba John snow🀣🀣🀣...jamaa ni hawana muda kabisa na wateja
2
0
14
@iamthatfemale
Hika Lyimo
2 years
@KelvinMradi 🀣🀣🀣🀣🀣
0
0
4
@Emmanue57127947
Biggermind
2 years
@iamthatfemale Msalato nilifukuzwa bandani baada ya kumaliza kula🀣🀣🀣
1
1
14
@iamthatfemale
Hika Lyimo
2 years
@Emmanue57127947 🀣🀣🀣
0
0
2
@wasuya14
Med Suya
2 years
@iamthatfemale Usiondoke mpaka nikupeleke nikakupe kiwanja chako πŸ˜‚
2
0
5
@iamthatfemale
Hika Lyimo
2 years
@wasuya14 Sawa 🌚
0
0
2
@elimubahari
Hafidhi Mkuzie
2 years
@iamthatfemale Unamuita Mtembeza samaki Lindi anakwambia njoo wewe na kama hutoenda hakufuatiπŸ˜€πŸ˜€
3
1
17
@iamthatfemale
Hika Lyimo
2 years
@elimubahari 🀣🀣🀣
1
0
1
@lilianruga
Lilian Kallaghe
2 years
@iamthatfemale Wataalam tumieni hii kama fursa ya kufundisha jamii customer care. Nchi jirani wanatushinda sana. Niliona clip ya mgeni inazunguka YouTube khs poor customer care in #Tanzania unaitisha huduma mtu anajivuuta km mlenda
1
1
6
@iamthatfemale
Hika Lyimo
2 years
@lilianruga Ni shidaaa
0
0
1
@mpambazi
C H A M P
2 years
@iamthatfemale Kunae waha wanae customer care ya dunia.πŸ€£πŸ€£πŸ‘ŠπŸΏ
2
0
14
@iamthatfemale
Hika Lyimo
2 years
@mpambazi What region? πŸ€”
0
0
7
@Msambwija
Julius Ngowi
2 years
@iamthatfemale Mtwara, inabidi uwe na chenchi kamili..Lasivyo usije shop..chenchi sina..done
6
1
26
@deohugo
Deo HUGO
2 years
@iamthatfemale Mangi wengine sio wachaga
1
0
0
@iamthatfemale
Hika Lyimo
2 years
1
0
2
@iamthatfemale
Hika Lyimo
2 years
0
0
4