Explore tweets tagged as #mbike
@SambiJR99
SambiChuma Mbike
19 minutes
Rais Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, tarehe 1 Agosti, 2025. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
0
@SambiJR99
SambiChuma Mbike
21 minutes
Rais Samia Suluhu Hassan akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2025. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
0
0
@SambiJR99
SambiChuma Mbike
26 minutes
Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo kinatajwa kuunga mkono uwekezaji wa ndani na kimataifa, huku kikipa mkono viwanda vya uzalishaji wa ndani na kuongeza thamani kwa bidhaa za Tanzania. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
0
@SambiJR99
SambiChuma Mbike
24 minutes
Rais Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo Jijini Dar es Salaam ambacho amekifungua rasmi tarehe 01 Agosti, 2025. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
0
@SambiJR99
SambiChuma Mbike
30 minutes
Mfanyabiashara: Mwanzo tulikuwa na hofu lakini sasa sijutii kuwa katika Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
0
0
@SambiJR99
SambiChuma Mbike
25 minutes
EACLC inatarajiwa kutoa zaidi ya ajira 15,000 za moja kwa moja, huku ajira zisizo rasmi zikiwa zaidi ya 5,000. Hii inatajwa kuwa ni hatua kubwa katika kukuza ajira, hasa kwa vijana na wanawake. #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
0
0
@SambiJR99
SambiChuma Mbike
27 minutes
"Kituo hiki badala ya kuwa mshindani wa Kariakoo, kiwe ni Mwalimu wa soko la Kariakoo"- Rais Samia Suluhu Hassan . #OktobaTunatikiSamia
Tweet media one
0
0
0
@kumuhaimin11
Min(tea)
1 year
Weih @KDNPUTRAJAYA @imigresenmy apa benda korang buat ni? Mbike tutup semua. Kaunter manual bukak 4 je. Nak kembali ke zaman jahiliyah ke? . Ni la jadi kalau perut makan rasuah. Contractor dah elok elok kau pergi bagi kontrak dkt kroni.
Tweet media one
Tweet media two
1
9
8
@4KiB
Sakib
1 year
Benda dah mudah sejak mbike tu barai lagi mau komplen. Sejak takde mbike ni balik cepat pun bising 🤣🤣🤣
Tweet media one
0
0
1
@moomosall667
Mohamed Sall ⁶₆⁷ 🇸🇳
9 months
TL221 ay mbiké nekou ñou fi ba doff bou djok rek yakarni warna ñou djema télécharger. Bou féké dafa am ñolene beug télécharger dem lene TikTok wala snapchat wala Instagram guene djema télécharger ñifa nek.
1
2
22
@Adhyaatmajagat
Adhyaatma Jagat
4 days
S 23 Durga Saptashati Path । Argala Stotram ।.देवि भक्तजनोद्दामदत्तानन्दोदयेऽम्बिके।.रूपं देहि जयं देहि यशो देहि द्विषो जहि॥ २३॥.devi bhaktajanoddamadattanandodaye'mbike|.rupam dehi jayam dehi yasho dehi dvisho jahi|| 23||.#durgastotra #durgasaptashati #chandipath #argalastotram
0
0
0
@TLtwg
P.J. Nieland
3 months
#ZXSpectrum #Art . Top left - title: mbike by #AmosFulcher .Top right & bottom row- by #AllyNoble
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
5
45
@mbike_scar
ちゃんたけ
1 year
準備万端
Tweet media one
0
0
1
@mbike_scar
ちゃんたけ
1 year
最高😀
Tweet media one
0
0
3
@IshemaAline
Ishema Aline
1 year
Ubanza iphone basigaye bazitanga muri macye macye nkaba ntabyo nzi🤣🤣🤣🤣🤣ahantu ndi bose bafite iphones knd za 13 na 15.Reka mbike iyi Itel yange batanseka😭
Tweet media one
8
1
25
@Adhyaatmajagat
Adhyaatma Jagat
5 days
S 15 Durga Saptashati Path । Argala Stotram ।.सुरासुरशिरोरत्ननिघृष्टचरणेऽम्बिके।.रूपं देहि जयं देहि यशो देहि द्विषो जहि॥ १५॥.surasurashiroratnanighrishtacharane'mbike|.rupam dehi jayam dehi yasho dehi dvisho jahi|| 15||.#durgastotra #durgasaptashati #chandipath #argalastotram
0
0
0
@mbike_scar
ちゃんたけ
11 months
レオヴィンチ. 理想通りの美音.最高😆
Tweet media one
0
0
6
@mbike_scar
ちゃんたけ
9 months
久しぶりにエンジンかけたのでプラッと
Tweet media one
0
0
6
@sindiheba1
SINDIHEBA
11 months
Reka mbike utu dufoto nshobora kuza kudukenera mu buryo bumwe Cg ubundi mu masaha akuze 😒
Tweet media one
Tweet media two
12
3
38