Explore tweets tagged as #barafu
I just received a contribution towards Analogue Pocket Console Black from barafu via Throne. Thank you! https://t.co/P3xm7k8Oyj
#Wishlist #Throne
0
0
13
MTEJA AKAMATWA AKICHEPUSHA UMEME KWENDA KIWANDA CHA BARAFU. Katika zoezi la ukaguzi wa mita lililofanyika Kata ya Nkome, Wilaya ya Geita Mkoani humo, Wakaguzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamebaini udanganyifu wa matumizi ya umeme kutoka kwa mteja mmoja aliyekuwa
0
0
1
Hivi aya maji ya barafu uwaga yanasaidia nn.? Kupretend nimechoka aisee
8
5
25
@DenyTheDr Pole sana nakumbuka mama yangu alikuwa anaumwa 2001, akanambia mwanangu chukua Hela hapo ukanunue barafu uweke kwenye maji ya kunywa joto ni kali sana, Ile na Rudi na barafu naweka kwenye jagi na kwenda ndani kwaajili ya kumpa maji nikakuta tayari asha niacha. 💔
1
0
3
Dkt. Wasena Angira aeleza sababu ya mifupa mwilini kuuma Zaidi wakati wa baridi na matumizi ya barafu kwa kutibu maumivu #SemaNaCitizen @mwanahamisi254
0
1
3
TUNDU LISSU: Nikwamba FREEMAN MBOWE Alikua Anatema MOTO Na BARAFU Anasema Bila Mabadiliko Hakuna Uchaguzi Huku Anawaambia Viongozi Wajiandae Kwa Uchaguzi. CHADEMA Chini Ya Mwnyekiti TUNDU LISSU Na Makamu JOHN HECHE Wanatema Moto Tu NO REFORM NO ELECTION Mpeni RT 200🤝
2
68
269
Dah! Hii Picha Niliipiga Miaka 7 Huko Nyuma. Hapo ilikua Kama Saa9 Usiku Hivi Nilikua Nakomaa Kusoma ma-DMVPN Kudadeki💀. —Redbull Nyingi na Barafu Nafosi Nisisinzie😁😁!! It was Worth it Lakini.
4
6
27