Sleeping Beast 😴
@beast229819
Followers
117
Following
4K
Media
70
Statuses
4K
Give me Liberty🗽Or give me death💀 NRNE💯✌️ OKTOBA 29TUNATOKA💪🤝
Joined August 2025
#Pichani ni Robert Nyambuya Katibu wa Jimbo la Ukonga jana majira ya saa tano asubuhi alifuatwa na watu wanne na mmoja ni mwanamke na kujitambulisha wao kama maafisa wa Jeshi la Polisi toka kituo cha Polisi Msimbazi kwamba wanamuhitaji kwaajili ya mahojiano ambayo hawakutaka
6
72
331
Kiufupi sana Press ya Father KITIMA jana ilisema—wale vijana mliosema ni taifa la kesho wamekuwa sasa wanataka kujenga nchi yao leo,wasikate TAMAA. Wanangu GEN Z TUAMKE leo tena kuwakumbusha TUPO NJIA SAHIHI kesho bora ya vizazi vyetu ipo mikononi mwetu. #D9
16
158
799
“Watu walikaa ndani, wakawa wanafuatwa Oktoba 30 na 31 kupigwa risasi. Katoliki tuna zahanati mpaka hospitali zaidi ya 400, yaliyotokea Mwananyamala na sisi tunayo, mochwari zilijaa. Polisi mmoja analisema msiwatibu hawa tunataka kuwaona mochwari, tulikataa.” Fr. Charles
20
185
687
"Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo, hata mimi nikifia humu jela, lakini nyinyi mkakaza, jueni mtawasaidia wananchi. Nikifungwa, mkakaza katika haki bado mtawasaidia wananchi. Na nikiachiwa, tukakaza wote kwa pamoja, vilevile
24
232
1K
"Tunaserikali ambayo imejiweka madarakani bila ridhaa ya wananchi, kwa kutumia mtutu wa bunduki na kuua watu wengi. Serikali ambayo haijachaguliwa na wananchi."-; Mhe. @HecheJohn
3
86
368
"Tunataka hatua za haraka zichukuliwe kuepusha nchi hii kuingia kwenye matatizo; 1. Waliouwa watu wachukuliwe hatua. 2. Walioagiza watu kupigwa risaisi wachukuliwe hatua. 3. Kesi za kisiasa ziondolewe. Hakuna taifa la nje limechochea, nyie ndio mmechochea hayo." Mhe. @HecheJohn
10
163
611
Mwisho wa mwaka huu msanii yoyote chawa akipanga show, hakikisha mnaenda na mawe ya kumbukumbu ya vijana wetu waliotuacha 29.10.2025. NB: Mawe ni kama kiingilio.
3
11
47
Breaking News!! Lucy Shayo(Binti Lissu) amekamatwa jana tarehe 30/11/2025 na Jeshi la Polisi akiwa Tanga mjini.Hadi sasa haijulikani kituo cha polisi alichopelekwa.
7
261
645
Mateso na uonevu wote tunaofanyiwa Watanganyika haututishi wala kuturudisha nyuma. Tunazidi kuimarika na kuwa na uchungu zaidi wa kupigania Tanganyika bora kwa ajili yetu na watoto wetu.!! Tukutane Barabarani Disemba 9. #HastaLaVictoriaSiempre.
2
67
258
Sina ninachokijua kuhusu siasa lakini at least nafahamu kwamba huyu mwamba anaipenda nchi yake, sina shaka na hilo.
18
131
1K
The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections.
27
423
955
Mimi sio NABII ila kesho IBADA YA KANISANI KWA GWAJIMA itafuatiliwa na watanzania wengi sana kutoka kila pembe NCHI na dunia nzima. Na lazima litapigwa GOMA LETU LA “MAKOMBOLELO” KANISA ZIMA LITASIMAMA KUIMBA NA KUCHEZA. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
14
170
1K